Mapungufu ya pes na fifa.
Pes;
- Sipendi game lake liko speed sana yani, ukicheza sana unaweza hisi hata kizunguzungu, yani straiker akienda kufunga anakua na speed sna
- yani penetration pass inapigwa hujui hata ataipokea nani, unapiga kwa kuashumu na bado hupotezi mpira
- graphic wamezifiwa mbali na fifa.
Fifa:
- ujinga wao ni mmoja tu,
Wachezaji kuwa na nguvu na kupata nafasi nyingi za kushinda ni hadi umiliki mchezo kwanza (ball possition)
Wakati kiuhalisia unaweza miliki Ball position na bado ukachezea vitasa.