Hii ngoma niliimaliza yoteeeProject IGI.
Euro Truck Simulator 2 mbona lipo mwake
Max Payne ndio game nililolifurahia sana katika PC ukiachana na Project IGIMimi nikianza kucheza game lazima niimalize.
Tombs rider nyingi zilikuwa ngumu kidogo,ila nilizimaliza
Resident evel zote mmpakaa 6 nimezpiga zote,call of duty,American horror story,max Payne 2 & 3,call of duty karibu zote,hitman,
Aisee ukiwa unapenda game kumaliza muhimu sana
Part 1 au Part 2?Hii ngoma niliimaliza yoteee
Part 1. Kumbe ipo 2 yake?Part 1 au Part 2?
Max Payne, hii kitu noma sana aisee, kuna style fulani hivi jamaa anaruka slow motion halafu anashoot majambazi. Hii mashine nikitulia nitaishusha.Max Payne ndio game nililolifurahia sana katika PC ukiachana na Project IGI
Yeah, inaitwa Project IGI: Covert StrikePart 1. Kumbe ipo 2 yake?
Sahizi ushajipata eehMax Payne, hii kitu noma sana aisee, kuna style fulani hivi jamaa anaruka slow motion halafu anashoot majambazi. Hii mashine nikitulia nitaishusha.
Sasa hivi nashughulika na Project IGI part 1. Nimetoka kumaliza mission ya 6 sio muda, mission inaitwa Get Proboi, hii mission imenitoa kamasi tangu jana jioni.
Hii migemu nilikuwa nacheza kipindi hicho nikiwa sekondari, sasa hivi nina mpango wa kuidownload yote niifaidi vizuri, maana kipindi hicho nilikuwa nalipia internet cafe, kabla haujamaliza mission kompyuta inajifunga muda umeisha 😂😂😂, ilikuwa noma sana.
Aaah wapi, HELSB walinisaidia kununua kaPC kamchongo, ndo haka nakatumia kupunguzia mawazo.Sahizi ushajipata eeh
Euro truck simulator humo nilishakua tajiri nikimiliki trucks kama 50 hivi na garage kibao nilizimiliki karibia nchi zote za europe nilikua namiliki garage,dah pc ikaja kuzingua nikakosa muendelezo 😀,now natumia pc ndogo ambayo naionea huruma hata kucheza super mario 😀Euro Truck Simulator 2 mbona lipo mwake
Ipo mpk namba 3 but made by FANPart 1. Kumbe ipo 2 yake?
Kipindi limetoka nakumbuka nilikomaa nalo nikaajiri madereva wa kutosha. Mimi ni mwendo wa kununua Scania expensive na kuzi-upgradeEuro truck simulator humo nilishakua tajiri nikimiliki trucks kama 50 hivi na garage kibao nilizimiliki karibia nchi zote za europe nilikua namiliki garage,dah pc ikaja kuzingua nikakosa muendelezo 😀,now natumia pc ndogo ambayo naionea huruma hata kucheza super mario 😀
Mkuu mwanzoni nilikua nanunua scania,ila baadae nikawa nanunua volvo,na mwenyewe nilikua naendesha volvo,volvo ukiendesha sauti yake ni kubwa ukitumia speaker 😀Kipindi limetoka nakumbuka nilikomaa nalo nikaajiri madereva wa kutosha. Mimi ni mwendo wa kununua Scania expensive na kuzi-upgrade
Hadi leo nacheza project IGI na need for speed 2002Max Payne ndio game nililolifurahia sana katika PC ukiachana na Project IGI
Nyepesi sema kusolve puzzle ndio ngumu. Kama umependa tomb raider hope hata uncharted utazipenda kwasasa ipo legacy of thieves...Mimi nikianza kucheza game lazima niimalize.
Tombs rider nyingi zilikuwa ngumu kidogo,ila nilizimaliza
Resident evel zote mmpakaa 6 nimezpiga zote,call of duty,American horror story,max Payne 2 & 3,call of duty karibu zote,hitman,
Aisee ukiwa unapenda game kumaliza muhimu sana