Games gani hukuzimaliza na kuishia kuzifuta tu kwenye pc au ps yako?

Mimi nikianza kucheza game lazima niimalize.

Tombs rider nyingi zilikuwa ngumu kidogo,ila nilizimaliza

Resident evel zote mmpakaa 6 nimezpiga zote,call of duty,American horror story,max Payne 2 & 3,call of duty karibu zote,hitman,
Aisee ukiwa unapenda game kumaliza muhimu sana
 
Max Payne ndio game nililolifurahia sana katika PC ukiachana na Project IGI
 
Max Payne, hii kitu noma sana aisee, kuna style fulani hivi jamaa anaruka slow motion halafu anashoot majambazi. Hii mashine nikitulia nitaishusha.
Sasa hivi nashughulika na Project IGI part 1. Nimetoka kumaliza mission ya 6 sio muda, mission inaitwa Get Proboi, hii mission imenitoa kamasi tangu jana jioni.
Hii migemu nilikuwa nacheza kipindi hicho nikiwa sekondari, sasa hivi nina mpango wa kuidownload yote niifaidi vizuri, maana kipindi hicho nilikuwa nalipia internet cafe, kabla haujamaliza mission kompyuta inajifunga muda umeisha 😂😂😂, ilikuwa noma sana.
 
Sahizi ushajipata eeh
 
Euro Truck Simulator 2 mbona lipo mwake
Euro truck simulator humo nilishakua tajiri nikimiliki trucks kama 50 hivi na garage kibao nilizimiliki karibia nchi zote za europe nilikua namiliki garage,dah pc ikaja kuzingua nikakosa muendelezo 😀,now natumia pc ndogo ambayo naionea huruma hata kucheza super mario 😀
 
Kipindi limetoka nakumbuka nilikomaa nalo nikaajiri madereva wa kutosha. Mimi ni mwendo wa kununua Scania expensive na kuzi-upgrade
 
Mkuu mwanzoni nilikua nanunua scania,ila baadae nikawa nanunua volvo,na mwenyewe nilikua naendesha volvo,volvo ukiendesha sauti yake ni kubwa ukitumia speaker 😀
 
Daah nakumbuka kuna mission kweny game la COD Black ops2 ya kwenda kumuescort president wa America na kuteketeza drones ilinitoa kamasi sana🙌🏻, ila nashukuru sasa hiv nmelimaliza lote kwa kumuua raul mendez😇
 
Mimi nikianza kucheza game lazima niimalize.

Tombs rider nyingi zilikuwa ngumu kidogo,ila nilizimaliza

Resident evel zote mmpakaa 6 nimezpiga zote,call of duty,American horror story,max Payne 2 & 3,call of duty karibu zote,hitman,
Aisee ukiwa unapenda game kumaliza muhimu sana
Nyepesi sema kusolve puzzle ndio ngumu. Kama umependa tomb raider hope hata uncharted utazipenda kwasasa ipo legacy of thieves...

1000004759.jpg
 
Back
Top Bottom