Games popular kwenye simu... unacheza game ipi?

Games popular kwenye simu... unacheza game ipi?

Sasa hivi kuna GTA SA Netflix definitive edition Lina graphics kali Sana humo ndani, kuna truckers of euro 3 game bora kabisa la truck kwenye simu, kuna Indonesia bus simulator kwa wanaopenda game za bus hii ndio baba lao, kama unapenda game za mazombie kuna occupation 0.5 nayo ni nzuri
 
Screenshot_20231217_131948_Gaming Hub.jpg
 
Kuna PUBG,battle ops, rally fury,BIA3,8ball,tekashi ninja,need for speed no limits, shadow fight3,minion rush
Hizi games tamu sana
 
According to Playstore ni Sportpesa (japo wamechapia sio game), Dream league soccer, subway surfer (princess), water sort puzzle, traffic and driving simulator, pool billiards na block blast.

Ingia playstore kwenye category tafuta top charts hizo zinakuwa sorted na region unayotoka.
Block blast ninayo!
Nzuri sijaichoka japo wakati wote sijafikisha score 5000
 
Je hakuna game la kukupa pesa real
 
Candy crush nipo level ya 2125 nafikiri hii game haiishi
 
Back
Top Bottom