Rufiji dam
JF-Expert Member
- Feb 20, 2020
- 4,107
- 9,671
Majaliwa anatakiwa kuikemea TBC kwa kuhamasisha kamari.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo amekua mraibu wa kamali hao huwa wanapelekwa Bodi ya Michezo ya kuhatisha kupatiwa counseling, maana amekua km TEJA wa kamaliWaziri Mkuu kamwambia ,mtumishi asicheze kamali,(hii imekaaje?
Kama anamaanisha kubeti si ni serikali inapata mapato ya Kodi.
Waziri Mkuu amemuonya mtumishi wa umma kuacha kucheza kamari kwa kuwa muda wote ataliwa tu. Atachukua mikopo benki na bado ataendelea kuliwa ambapo ataingiwa na msongo wa mawazo.
Amempata kazi mtumishi mwingine kumfuatilia mtumishi huyo
Bet kistaarabuKamkanya kama kijana wake,..kiukweli gaming inaua band
Kama ni hivyo mwamba anafeliyuko sawaa yani ujue huyuu amekubuu kwenye kubet mpaka muda wakazi yupo busy na mikekaaa...anakopa aweke helaa...akiliwa stress kama zote mpaka kazi hawezi kufanya.
20%Gaming Act inaruhusu Addiction ?
Lakini hizi ni Siasa wanashindwa nini kupunguza / kutoa matangazo ya Kamari kwenye vyombo mpaka pale usiku wakati minors wamelala ? Au sababu Serikali inachukua takribani asilimia 15 kwa kile anayeshinda ?
Yaani unatangazia watoto kila dakika kuhusu kamari na kila mtaa hata minors wanashiriki alafu.... !!!!!
Na hivi ndivyo inavyotakiwa ila watu hawajui hii kanuni kuna mzee aliwahi kunisisitiza hata ukitaka kumkopesha mtu mkope kiasi kile ambacho hata asipokurudishia haitokuumizaAngempa mfano: Kama unauhakika kwa siku unaingiza 12,000 na unaona ukitumia 500 kwenye Bet haina Madhara basi tumia hiyo lakini usizidishe hapo, itabidi usubiri tena kesho uingize 12000 ingine ndio ucheze tena kwa 500.
Hii unayocheza wewe ni utapeli mtupu, unajua nini kinafanyika kumpata mshindi? Kamari pekee ya kucheza ni Sports betting basi, hizo nyingine ujanja unjanja na wizi mwingi.Kamari Ni balaa. Nimepoteza pesa nyingi Sana kupitia Redio Free Afrika na sijawahi kushinda hata Mara Moja.
View attachment 2431783
...Serikali yake SI Ndio imatoa Vibali vya Gaming??[emoji848][emoji848]Kamkanya kama kijana wake,..kiukweli gaming inaua band
Hata betting ya Mpira ni mbaya, ona Kama Ihefu walivyosababisha depression kwa watu, hujui kuna watu wamelazwaPM angesema hivi, kamari ni Bahati nasibu (probability). Probability ya kuliwa ni kubwa kuliko kula. Angeendelea kumwambia Kijana kuwa CHEZA UNACHOKIMUDU KUPOTEZA(PLAY THAT YOU CAN AFFORD TO LOOSE)
Angempa mfano: Kama unauhakika kwa siku unaingiza 12,000 na unaona ukitumia 500 kwenye Bet haina Madhara basi tumia hiyo lakini usizidishe hapo, itabidi usubiri tena kesho uingize 12000 ingine ndio ucheze tena kwa 500.
Na kama unaingiza kwa mwezi let say 450k na unaona ukiitupa 10k kwenye kamari sio issue kubwa basi cheza hiyo 10k na ukiliwa usicheze hadi mwezi mwingine, uingize tena 450k ndio ucheze bet ya 10k.
Ukilazimisha utakuwa unaliwa na kujikuta kwenye Madeni na depression. Lakini ukicheza kwa Mipango utajikuta unaliwa bila kuumia na siku ukila mzigo mrefu wanaumia wao kampuni za kubet.
Nimesema hivi kwa sababu Serikali ndio imeweka hizi Kamari, inamana zipo kisheria. Kumkataza Yule mtumishi wa Umma peke yake na kuwaacha Watanzania wengine waendelee kucheza huo ni Ubaguzi, tukumbuke kuna wanaofanya Sector binafsi na maeneo mengine nao ni Waathirika wa Kamari hizi hizi.
Kumkataza jamaa ni sawa na kusema kampuni za Betting ziondoke. For me, Kampuni za Bahati Nasibu zote za kwenye Maeneo mengine kuanzia zile za Redioni, hizi tunazotumiwa kwenye Simu zingeondoka alfu zingebaki Betting za Mpira tu. Mpira ndio Betting pekee ambayo unaliwa kihalali kwa maana mechi zinachezwa na Matokeo unayaona. Ila tucheze kwa akili sana, tusije tukajikuta katika Depression.
Nawasilisha.
Lakini ipo kisheriaKamari Ni balaa. Nimepoteza pesa nyingi Sana kupitia Redio Free Afrika na sijawahi kushinda hata Mara Moja.
View attachment 2431783