Gamond anasikitika Simba inavyosajili cheap labor

Gamond anasikitika Simba inavyosajili cheap labor

Imethibitika kuwa kocha la makombe..aka kocha la CAF champions league Gamond anawachora Simba wanavyosajili cheap labor badala ya kusajili quality players

Sababu
Gamond anaamini Ili kuwe na ushindani lazima kuwe na power balance between Simba na Yanga so Kwa usajili huu wa bila kocha inamaanisha bado Yanga atakuwa unstoppable View attachment 3033995
Simba inategemea wachawi zaidi kuliko wataalam wa soka la uwanjani
 
Back
Top Bottom