Gamond anasikitika Simba inavyosajili cheap labor

Labani og

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
19,637
Reaction score
29,473
Imethibitika kuwa kocha la makombe..aka kocha la CAF champions league Gamond anawachora Simba wanavyosajili cheap labor badala ya kusajili quality players

Sababu
Gamond anaamini Ili kuwe na ushindani lazima kuwe na power balance between Simba na Yanga so Kwa usajili huu wa bila kocha inamaanisha bado Yanga atakuwa unstoppable
1719939327262.jpg
 
Imethibitika kuwa kocha la makombe..aka kocha la CAF champions league Gamond anawachora Simba wanavyosajili cheap labor badala ya kusajili quality players

Sababu
Gamond anaamini Ili kuwe na ushindani lazima kuwe na power balance between Simba na Yanga so Kwa usajili huu wa bila kocha inamaanisha bado Yanga atakuwa unstoppable View attachment 3033995
Naona Nyuma -Mwiko una presha na usajili vijana wa Simba.......kwa siku unatoa mabandiko zaidi ya kumi kujadili usajili wa Lunyasi😀😀
😀
 
Imethibitika kuwa kocha la makombe..aka kocha la CAF champions league Gamond anawachora Simba wanavyosajili cheap labor badala ya kusajili quality players

Sababu
Gamond anaamini Ili kuwe na ushindani lazima kuwe na power balance between Simba na Yanga so Kwa usajili huu wa bila kocha inamaanisha bado Yanga atakuwa unstoppable View attachment 3033995
dogo njoo pm nikupe kiazi yakufanya utachanganyikiwa Kwa kukosa kiazi mtaani hapo
 
Imethibitika kuwa kocha la makombe..aka kocha la CAF champions league Gamond anawachora Simba wanavyosajili cheap labor badala ya kusajili quality players

Sababu
Gamond anaamini Ili kuwe na ushindani lazima kuwe na power balance between Simba na Yanga so Kwa usajili huu wa bila kocha inamaanisha bado Yanga atakuwa unstoppable View attachment 3033995
Kwani yeye alipoenda Yanga aliwasajili akina Diara,Lomalisa, Job, Baca, Aucho, Mudathir, Aziz Ki, Musonda, Mzize na Mwamnyeto?
 
Unasikitika kuchukua Wazee.....wanaoenda kustaafu 😀 😀
Nasikitika jinsi ambavyo gape la ubira linazudi kuongezeka baina ya Simba na Yanga

Yanga Ina kuwa ....Simba inasinyaa
 
Back
Top Bottom