Gamond: Azam ndio kipimo sahihi Kwa Yanga kuliko simba

Gamond: Azam ndio kipimo sahihi Kwa Yanga kuliko simba

Labani og

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
19,637
Reaction score
29,473
“Napenda kucheza aina hii ya mechi, tumecheza na Simba sasa Azam ni kipimo sahihi kuelekea msimu mpya, tumekuwa na mwendelezo mzuri tokea tumecheza fainali Zanzibar, napocheza na wapinzani wagumu basi unaimarisha zaidi kikosi chako kiushindani, nina matumaini kesho tutacheza vizuri” Kocha Mkuu Miguel Gamondi kuelekea mchezo wa fainali #ngaoyajamiii dhidi ya Azam Fc.

#timuyawananchi
#daimambelenyumamwiko

Je unakubaliana na suala hili la master gamond????
1723287839361.jpg
 
Umenikumbusha magazeti ya Alaasiri na Dar Leo...
Utakutwa kichwa cha habari "OSAMA AKAMATWA"!.
Ukisoma ndani kumbe aliyekamatwa ni bwana Husein Sharif a.k.a OSAMA wa Mtoni kwa Azizi Ali!!!.
 
Lazima atoe hizo kauli ili kujifurahisha mara ya mwisho maana anajua ligi ikianza hawezi kumkuta Simba, na hivi atamkuta Simba ameshacheza game mbili.
 
Umenikumbusha magazeti ya Alaasiri na Dar Leo...
Utakutwa kichwa cha habari "OSAMA AKAMATWA"!.
Ukisoma ndani kumbe aliyekamatwa ni bwana Husein Sharif a.k.a OSAMA wa Mtoni kwa Azizi Ali!!!.
Magezi Yanakuwa na ujinga mwingi [emoji23]
 
Umenikumbusha magazeti ya Alaasiri na Dar Leo...
Utakutwa kichwa cha habari "OSAMA AKAMATWA"!.
Ukisoma ndani kumbe aliyekamatwa ni bwana Husein Sharif a.k.a OSAMA wa Mtoni kwa Azizi Ali!!!.
Hatari sana ili wauze magazeti 😁
 
Back
Top Bottom