Gamond kusema ukweli kutakuponza

Allen Kilewella

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2011
Posts
21,470
Reaction score
40,593
Kocha wa simba Zoran Maki alipotua kwenye timu hiyo akaanza kuongea kama vile ameletwa kuongoza timu ya Ulaya. Akaanza kukosoa viwango vya wachezaji wa timu ya Simba na mifumo ya uchezaji wao. Tunaozijua timu za Kariakoo tukajua anajipiga ngwala mwenyewe. Siyo muda akatimuliwa na Dejan wake naye akasepa.

Sasa Miguel Gamond kocha wa Yanga naye mara aseme mashindano ya "Champions League" siyo sawa na "Confederation", mara wachezaji wengine wa timu viwango vyao viko chini sana ukilinganisha na wale wa kikosi cha kwanza. Gamondi jichunge!!
 
Yanga sio wahuni kama timu nyingine kama ulivyoain8sha hapo. Kocha atapinzwa kwa kwenda kinyume na matarajio waliyowekeana kwenye mikataba na sio mambo mengine. Its all about proffessionalism not otherwise
Kocha anawezaje kwenda kinyume na matarajio ya klab? Kwani yeye ndiyo mchezaji??
 
Ktk timu zinazoendeshwa hovyohovyo uto ni ya kwanza
Nayaheshimu mawazo yako. Ila ikitokea mtu akakuuliza zilipo bilioni 20 za mwekezaji, usikimbilie kuporomosha matusi.
 
Yanga sio wahuni kama timu nyingine kama ulivyoainisha hapo. Kocha ataponzwa kwa kwenda kinyume na matarajio waliyowekeana kwenye mikataba na sio mambo mengine. Its all about proffessionalism not otherwise
mnajisahau sana utopolo, alieongea ukweli kwa kuwafananisha na nyani sasa hivi yupo kwao uholanzi.

na unyani wenu bado mnaendelea kuumiliki.
nyani ni nyani tu[emoji3][emoji3].
 
mnajisahau sana utopolo, alieongea ukweli kwa kuwafananisha na nyani sasa hivi yupo kwao uholanzi.

na unyani wenu bado mnaendelea kuumiliki.
nyani ni nyani tu[emoji3][emoji3].
Ndugu kolo kunitukana mimi hakutabadilisha uhalisia wa umbumbumbu mlionao. Nenda ka deal na Rage umuulize aliona nini kuwapatia cheo cha umbumbumbu na ni kweli akalenga mulemule vichwa vimejaa maji.

Ooops sorry nilisahau kumbe kunitukana ni harakati za kutafuta furaha. Basi mbumbumbu endelea kutukana. Mimi furaha yangu haipo huko, huniingizi mkenge KOLO WIZARDOUS
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…