Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
Kocha wa simba Zoran Maki alipotua kwenye timu hiyo akaanza kuongea kama vile ameletwa kuongoza timu ya Ulaya. Akaanza kukosoa viwango vya wachezaji wa timu ya Simba na mifumo ya uchezaji wao. Tunaozijua timu za Kariakoo tukajua anajipiga ngwala mwenyewe. Siyo muda akatimuliwa na Dejan wake naye akasepa.
Sasa Miguel Gamond kocha wa Yanga naye mara aseme mashindano ya "Champions League" siyo sawa na "Confederation", mara wachezaji wengine wa timu viwango vyao viko chini sana ukilinganisha na wale wa kikosi cha kwanza. Gamondi jichunge!!