bryan2
JF-Expert Member
- Jun 8, 2016
- 3,323
- 4,679
Wakati mtaalamu wa kutoka Argentina akienda pale Lupaso kuwaangalia Simba katika mechi zao wengi hasa mashabiki wa Simba walimwona mjinga kumbe mtaalamu anafanya kazi zake kama Mosads alikua anatafuta siri na file zito la Simba hakika bila shaka alipata mafile yote Intellijensia yake ilifanya powa.
Sio ajabu kumsikia yule msemaji wa Simba mswahili Ahmed Ally akija na maneno yake "Gamondi akaribishwa mazoezi ya Simba Bunju" yes natumai wamepata mrejesho kwamba mtaalamu wa Argentina alikua anatafuta nini.
Yanga imeamua kutoka kwenye Uswahili na kuwezekeza kwenye Soka wenzetu bado wamekalia uswahili baada ya kumuotea Nabi wakajua washaifamu Yanga kumbe Gamondi kaja na Code tofauti kabisa.
Vipi mashabiki wa Simba bado mnakaribisha Gamondi Bunju? naomba mnijibu bila paniki