Gamondi akaribishwa Mazoezi ya Simba Bunju.

bryan2

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2016
Posts
3,323
Reaction score
4,679
Wakati mtaalamu wa kutoka Argentina akienda pale Lupaso kuwaangalia Simba katika mechi zao wengi hasa mashabiki wa Simba walimwona mjinga kumbe mtaalamu anafanya kazi zake kama Mosads alikua anatafuta siri na file zito la Simba hakika bila shaka alipata mafile yote Intellijensia yake ilifanya powa.

Sio ajabu kumsikia yule msemaji wa Simba mswahili Ahmed Ally akija na maneno yake "Gamondi akaribishwa mazoezi ya Simba Bunju" yes natumai wamepata mrejesho kwamba mtaalamu wa Argentina alikua anatafuta nini.

Yanga imeamua kutoka kwenye Uswahili na kuwezekeza kwenye Soka wenzetu bado wamekalia uswahili baada ya kumuotea Nabi wakajua washaifamu Yanga kumbe Gamondi kaja na Code tofauti kabisa.

Vipi mashabiki wa Simba bado mnakaribisha Gamondi Bunju? naomba mnijibu bila paniki
 
...Gamondi alifanya homework yake vizuri, alipokuwa anatembelea mechi za Simba alionekana kama popoma flani hivi...
 
Hadi Barbra na professional yake alipost eti kisa mvua imepigwa + jumapili basi makolo watashinda[emoji23][emoji23]

Walichokosea makolo ni kuruhusu mchezo wa kupishana na viungo wa Yanga
 
Leo wamejaa kwenye mfumo na mvua yao uchawi haufanyi kwa Maxi[emoji1][emoji1787]
 
Gymson 20years
Ntubazokiza 40 😅😅🤭
 
Gymson 20years
Ntubazokiza 40 [emoji28][emoji28][emoji2960]

Kupanga ni kuchagua yule kiungo wao waliyemwiba airport kama hayupo leo
 
Hadi Barbra na professional yake alipost eti kisa mvua imepigwa + jumapili basi makolo watashinda[emoji23][emoji23]

Walichokosea makolo ni kuruhusu mchezo wa kupishana na viungo wa Yanga
Hapana kaka.
Baada ya Goli la pili lilikuja kama suprise hawakuwa na jinsi zaidi ya kupishana mkuu.

PaKiMax wakiachiwa space ya kukimbia na mpira ni Hatari sana. Bahati nzuri wao wana chemistry nzuri ya One-Two while moving.
 
Wanaitwa MAP - Max, Aziz & Pacome....
 
Hadi Barbra na professional yake alipost eti kisa mvua imepigwa + jumapili basi makolo watashinda[emoji23][emoji23]

Walichokosea makolo ni kuruhusu mchezo wa kupishana na viungo wa Yanga
Barbara si alikuwa Kwenye inner circle ya simba pengine amezoea na Kutegemea yale mambo Yao .
 
Back
Top Bottom