Gamondi ameondolewa kutokana na sababu muhimu, matokeo ya uwanjani ilikuwa ni nyongeza tu ya kumnyoa!

Aisee timu moja imepakazwa haya majina yoteπŸ˜‚
 
Nasikia lazima kocha awe wa dini ile. "Hatutaki makafiri kwenye klabu yetu" alisikika injinia mmoja akiropoka. Huyu amekuja eti hataki pombe, nani kamwambia klabu ni madrasa?
 
Nasikia lazima kocha awe wa dini ile. "Hatutaki makafiri kwenye klabu yetu" alisikika injinia mmoja akiropoka. Huyu amekuja eti hataki pombe, nani kamwambia klabu ni madrasa?
SASA Mzee Chama bila pombe itakuwaje?
 
Hapa sababu ni mmoja tu nidhamu na maugomvi ndani ya team hakuna sababu nyingine wazungu wanasema kupoteza dressing room. Suala sijui mifumo ni ujinga tu wako Huko Liverpool miaka kumi wanajulikana wanaingia uwanjani 433. Dr wa team ni kumpa update kocha kama mchezaji kaumia na maendeleo sio fitness coach. Hii visababu vya kijinga eti Azizi katumika sana wakati league ndio kwanza imeanza kwa mechi gani mpaka achoke? wewe professional player kazi yako kuwa fit kukabili msimu mzima likizo unapata mwezi kwa mwaka. Kina Mo Salah kila mechi wamo na sio wamo wanakasirika kama hawachezi au wakitolewa na kule hawachezi na Ihefu wanacheza na vizume kila wiki watu hawataki kukaa bench eti Aziz kachoka, sema waache starehe kwenye mishisha huko na club lakini mtoto mleavyo ndio akuavyo. Siku ya utambulisho mliletea malaya uwanjani mkamkabidhi na yeye katekeleza........
 
Hakuna cha nini wala nini. Gamondi alichoka kulazwa kwenye majeneza na kudungwa yale masindano yenu . Hapo ndipo tofauti na viongozi zilipoanzia
 
Na kuna taarifa makafir wote wanaondolewa.

 
Reactions: Tui
Haya uliyoandika ni marudio ambayo wenzio walikuwa wakiandika ila ulikuwa unakaza shingo leo unakuja kujifanya taarifa za ndani!
 
 
Alishindwa kubadilisha mifumo ile siku ya kipigo cha mbwa koko kilicho tolewa na Tabora United.. apo aliprove weekness mapema sana
 
Bro naona unaongelea ushabiki na kutia propaganda kama ilivyo desturi yenu mashabiki wa simba wachukue kibabage maxi abuya hao wanacheza nafasi moja na ni wazee! Ukija mbele ni baleke tu ndie namba 9 rungu wengine wote inaweza kuwachezesha pembeni na wakakupa game nzuri tu
 
Kibwana shomari Hana uwezo wa kucheza mechi kubwa Kama kuna kiongozi anamsapoti ajue hivyo .
Mechi ya fainali Dar na usm Algiers kibwana alizidiwa kabisa ukuta wa yanga ukawa nyanya , mechi ya msimu ule na ile Timu ya mbarali yanga akafungwa kibwana na Bakari nondo walikuwa njia .

Hii ya Aziz ki kupangwa Hata Kiwango kikiwa kibovu ni sahihi .

Mechi na tabora alirudia kosa Kama la mechi ya mbarali yanga ilivyofungwa Msimu ule , nkhane, kibabage, nondo ukuta ulikuwa hafifu hakutambua anacheza na timu ya ligi kuu alidharau .

Lakini pamoja na madhaifu machache gamondi ni kocha mzuri alinyanyasa timu mpaka wakatengeneza uadui kupitia wanaojiita wachambuzi !
 
Wee mzee wa unyevu nyevu...
Tabora 3 Utopolo 1
Simba 5 Utopolo 0
 
Kwa matokeo na ubongwa aliyowapa gamondi bado wamemfukuza! Wanataka nini haswaa! Kwa style hii mtafukuza sana makocha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…