Gamondi ameondolewa kutokana na sababu muhimu, matokeo ya uwanjani ilikuwa ni nyongeza tu ya kumnyoa!

Ahahhaha hivi kafia wapi??.jamani mumtafute asije akawa amejinyonga...
Nitakutuliza usijali... 🀣
Kweli we ni Jeshi la Mtu mmoja, huwa unanifurahisha sana unavyokomaaga na Utopolo wezangu hata wawe buku lakini utakabiliana nao perpendicularly πŸ˜…πŸ™Œ

Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
 
Ni maoni Yako au ni maoni ya klabu. Maana upande wangu back sioni sababu za msingi
 
SASA Mzee Chama bila pombe itakuwaje?
Nashangaa, ukiachana na huyo muarabu koko wanayemuita Mjerumani wametuletea tena na msaidizi wake msomali. Lakini wamefanikiwa kufuta makafir wote klabuni.
 
Reactions: Tui
Kweli we ni Jeshi la Mtu mmoja, huwa unanifurahisha sana unavyokomaaga na Utopolo wezangu hata wawe buku lakini utakabiliana nao perpendicularly πŸ˜…πŸ™Œ

Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
🀣 🀣 🀣 🀣 🀣 tunaendeleza utani wa jadi timu zichangamke
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…