Gamondi ameonyesha kuiogopa Simba

Asante Mungu sio mjinga kama huyu jamaa
 
Ukisikia kuweweseka na kuingiwa na mchecheto, ndiyo huku sasa.
 
Tunaitaka, sasa mtuambie mtamkaba nani, kati ya Aziz Ki, Dube, Pacome, Max.
 
Fadlu Davids 🇿🇦 kuelekea kwenye mechi yao ya kesho dhidi ya Young Africans

🗣️ "Hawatujui vizuri kwasababu tuna timu mpya, nina uhakika 100% hawawezi kutabiri kikosi, kutabiri mbinu na namna tunavyoingia, hii itakuwa faida kwetu"

Miguel Gamondi 🇦🇷

🗣️ "Ni kweli hatuwajui vizuri kwasababu mechi zao hazijaonyeshwa kwenye TV Kama sisi ila mimi huwa naandaa tu kwa 75% ipp kwenye mbinu zangu na asilimia zinazobaki nafikiria wapinzani, lakini pia mpira hauna siri"

Nakazia mpira hauna siri
 
kila ligi inapo anza
simba husifiwa kwa usajili mzuri ila mwisho anaangukia pua

naona na mwaka huu imejirudia tusubiri kesho
 
Unayo nyingine? Au unanichosha tu?
Kauli uliyoitoa haiakisi takwimu ulizoleta maana hazitoshelezi. Bahati mbaya na mimi nimechoka kukuelewesha ila kwa sababu ni mjadala wa wazi, kuna mtu anaweza kujitokeza kunisaidia kukuelewesha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…