Gamondi ameonyesha kuiogopa Simba

Gamondi ameonyesha kuiogopa Simba

Kitendo alichofanya kocha wa Yanga Gamondi cha kuchanganya nafasi za wachezaji hasa kipindi cha pili katika ile mechi dhidi ya Red Arrows kwanza kilikuwa na nia ya kupunguza pressure kwa mashabiki waliokuwa wameshaanza kupagawa na matokeo ya mchezo. Lile lilifanyika ili mchezo msiuchukulie serious sana.

Pia baada ya mipango ya nyuma ya pazia kufanyika wakati wa mapumziko yaliyowahakikishia walau kupata sare, akaamua kubadili nafasi za wachezaji eti wanavyosema wachambuzi ili benchi la ufundi la Simba wasiweze kuisoma vizuri Yanga.

Mbinu za mchezo zinatofautiana kati ya mchezo na mchezo, hakuna mtu atakayeangalia jinsi mnavyocheza dhidi ya timu moja ategemee utakuja vile vile. Style ya uchezaji wa Yanga inajulikana, ni counter attacks, speed na kutumia penetration passes hadi kwenye box la mpinzani.

Walichobadili siku ile ni kujaribu sana kufunga magoli ya mbali ili kuyafunika magoli ya kina Fernandez, jambo lililoshindikana.

Makocha wa Simba bado wameweza kuona uwezo wa wachezaji mmoja mmoja wa Yanga na style zao za uchezaji. Wameiona Yanga kule Afrika Kusini ambapo katika mechi mbili dhidi ya Kaizer Chiefs na wale Wajerumani, hamu ya ushindi ilikuwa kubwa kwa hiyo ilikuwa rahisi kuwasoma wachezaji mmoja mmoja.

Bado wana hazina kubwa ya video za Yanga za msimu uliopita, ukichukulia kikosi hakijabadilika sana. Hapo unaficha nini sasa?

Tuambieni mapema, ngao mnaitaka au hamuitaki maana mkifungwa mtakuja na maneno yenu ya kuidharau wakati mlienda kushangilia airport kupokea kombe la bonanza tena la timu mbili tu.

Tunajua waliokuwa wanalilia sana kuiona live Simba ikicheza kule Misri si mashabiki wa Simba bali watu wa Yanga. Hakuna anayeenda kwa tahadhari na hofu kubwa katika mchezo huu wa kesho kama mashabiki, benchi la ufundi, viongozi na wachezaji wa Yanga. Mpaka sasa hawajui wanaenda kukutana na nini.

PS. Robertinho alimfunga Nabi akamfunga na Gamondi.
Asante Mungu sio mjinga kama huyu jamaa
 
Ukisikia kuweweseka na kuingiwa na mchecheto, ndiyo huku sasa.
 
Tunaitaka, sasa mtuambie mtamkaba nani, kati ya Aziz Ki, Dube, Pacome, Max.
 
Fadlu Davids 🇿🇦 kuelekea kwenye mechi yao ya kesho dhidi ya Young Africans

🗣️ "Hawatujui vizuri kwasababu tuna timu mpya, nina uhakika 100% hawawezi kutabiri kikosi, kutabiri mbinu na namna tunavyoingia, hii itakuwa faida kwetu"

Miguel Gamondi 🇦🇷

🗣️ "Ni kweli hatuwajui vizuri kwasababu mechi zao hazijaonyeshwa kwenye TV Kama sisi ila mimi huwa naandaa tu kwa 75% ipp kwenye mbinu zangu na asilimia zinazobaki nafikiria wapinzani, lakini pia mpira hauna siri"

Nakazia mpira hauna siri
 
kila ligi inapo anza
simba husifiwa kwa usajili mzuri ila mwisho anaangukia pua

naona na mwaka huu imejirudia tusubiri kesho
 
Unayo nyingine? Au unanichosha tu?
Kauli uliyoitoa haiakisi takwimu ulizoleta maana hazitoshelezi. Bahati mbaya na mimi nimechoka kukuelewesha ila kwa sababu ni mjadala wa wazi, kuna mtu anaweza kujitokeza kunisaidia kukuelewesha.
 
Back
Top Bottom