Gamondi mechi ya Jana naamini hakuipania kwa 100% maana yanga hajakosa kitu ,yoyote atakayekuja Kwenye robo fainali ni halali kwa yanga.
Hata hakumchezesha max na Augustine okra hio inaweza kuleta Picha ya plan ya gamondi .
Al ahly akiwa kwao sio timu ya mchezo na hata mechi ya Jana kosa la Yao kutokukaba nafasi yake ndiyo ilisababisha goli la Al ahly .
Yanga mechi ya Jana walitengeneza nafasi kadhaa za kufunga wakashindwa kufunga , na Jana wachezaji walifanya makosa madogo madogo yasiyokuwa na ulazima mfano mtu anataka apige chenga au mbwembwe nyingine pasipo umuhimu .
Nafikiri tatizo lipo kwenye fikra za wachezaji wa yanga sio gamondi , kutokana na takwimu yanga akishacheza mechi na kupambana kwa asilimia 100 mechi inayofuata anabweteka na kutoweka mwendelezo chukulia mfano baada ya kumpiga simba 5 mechi iliyofuata wakabweteka na kufungwa 0-3 na belouzidad, hivi karibuni ametoka kumpiga belouzidad 4 Jana wachezaji wakawa wame relax chenga nyingi kanzu nyingi .
Yote kwa yote gamondi apewe wachezaji bora ni kocha mzuri Hata ubingwa anakupa , Al ahly wametumia mabilioni ya shilingi kusajili Mpaka wamemchukua mchezaji mkubwa wa ulaya .