Gamondi ana nipa wasiwasi na quality yake, I will do background check why he was fired in previous team

Gamondi ana nipa wasiwasi na quality yake, I will do background check why he was fired in previous team

Usituletee taharuki kwenye Klabu yetu tafadhali.
Huyo Guede kama sio lile goli lake unajua kwa matokeo ya jana tungekuwa tunaongea nini hivi sasa?

Kwahiyo akifunga kwenye mechi muhimu ni sawa ila asipofunga mechi nyingine ya kukamilisha ratiba ndio unaleta ngonjera?
Masta Miguel Gamboshi
 
Back
Top Bottom