Usituletee taharuki kwenye Klabu yetu tafadhali.
Huyo Guede kama sio lile goli lake unajua kwa matokeo ya jana tungekuwa tunaongea nini hivi sasa?
Kwahiyo akifunga kwenye mechi muhimu ni sawa ila asipofunga mechi nyingine ya kukamilisha ratiba ndio unaleta ngonjera?