Gamondi anapoelekea kuna siku atampanga RAISI WA yanga Eng kha

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619
Yaan ya jana yanafurahisha sana

Nakumbushwa KHALID AUCHO hajacheza hata dakika moja leo hii, navutwa shati kuwa BAKARI NONDO hakuwepo hata sub leo hii, naambiwa STEPHEN AZIZ KI ametokea benchi na ameweka mbili, nakumbushwa DUKE ABUYA ametokea bench ameweka kambani.

Uhuni ni nini? Ni kukumbushwa kuwa Jonas Mkude mara ya mwisho kacheza dakika 90 ilikuwa dhidi ya Mamelodi Sundowns halafu leo kazima kiroho mbaya, ndio kusema? Ndio kusema ipo siku Gamondi atampanga hata Rais wa timu acheze😀
 
Nungunungu aka

Home boy

Hatareee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…