Labani og
JF-Expert Member
- Sep 15, 2020
- 19,637
- 29,473
Kocha Mkuu wa Young Africans Sports Club , Miguel Gamondi ameamua kuwaita nyota wake wa kikosi cha kwanza aliokuwa amewapa mapumziko mafupi akiwamo Khalid Aucho, Pacome Zouzoua na Yao Kouassi ili kuongeza nguvu katika Kikosi Kuelekea mchezo wa mtoano wa Mapinduzi cup.