Exy
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 3,146
- 5,520
Tuache ujuaji wakijinga dhidi ya professinalism za watu!!, Hebu angalia Kibabage alivyocheza kule Ghana? Angekuwa ni Lomalisa yanga ingepata ushindi. Msimu mnaosema Nabii alifanya rotation yanga kwa 90% wachezaji karibia wote viwango vilikuwa sawa ila sio saizi asee!, Yaani umuweke benchi yao mechi mhimu kisa rotation kwa kibwana?, Umuweke benchi Pacome kisa rotation ya Nkane?, Umuweke benchi Max kisa rotation ya moloko?. Utakuwa kocha wa hovyoo Sana, Dunia kote hakuna kocha anafanya rotation kwa timu inayofanya vizuri!!, Afanye rotation afungwe? Mmseme?.