GUSA ACHIA BAHASHA GOLI
JF-Expert Member
- Apr 19, 2023
- 5,110
- 7,349
Kwani magoli yaliyofungwa Yanga, yamefungwa na nani mpaka sasa kama sio viungo? Kwenye NBC magoli yamefungwa na Max, Aziz Ki na Pacome. Na huku kwenye klabu bingwa magoli yamefungwa na Pacome ambaye ni kiungo. Shida ya style hii ya uchezaji ni lazima uwe na mawinga wazuri ndio ingekuwa rahisi hata kwenye michezo ya kimataifa. Huku ni mwendo wa mbinu na ufundi, embu angalia zile nafasi alizopata Kibabage kama ungekuwa na winga wa maana au beki wa maana zile counter zingezaa magoli. Kutokana na kutokuwa na mawinga wazuri inalazimu wachezaji wafanye kazi zaidi ya moja.Sio mawinga tu, hata viungo..kun Aziz Ki, Pacome, Maxi,