Gamondi hamna kitu ana bahati ya kuwa na wachezaji wazuri na ndio wanaombeba!

Gamondi hamna kitu ana bahati ya kuwa na wachezaji wazuri na ndio wanaombeba!

Mpira haupo hivyo, ili mafanikio yapatikane ni lazima kuwe na wachzaji wazuri na benchi la ufundi zuri. Embu nipe mifano ya timu iliyofanikiwa ikiwa na kocha mbovu ni timu zipi hizo?
Timu iliyokamikika sio mkusanyiko wa wachezaji bali ni mbinu, ufundi na aina ya uchezaji inayoongozwa na benchi bora la ufundi
 
Ana bahati ya kuwa na wachezaji wazuri na ndio wanaombeba!! Anapewa sifa asizostahili!! Wachezaji wa yanga hata ukimpa Julio anaweza kutinga fainali CAF champions league!! Gamondi hamna kitu!!
sasa bila wachezaji wazuri unashindaje, hata ulaya wanatumia mabilioni ya pesa kusajili wachezaji wazuri.
 
Mpira haupo hivyo, ili mafanikio yapatikane ni lazima kuwe na wachzaji wazuri na benchi la ufundi zuri. Embu nipe mifano ya timu iliyofanikiwa ikiwa na kocha mbovu ni timu zipi hizo?
Timu iliyokamikika sio mkusanyiko wa wachezaji bali ni mbinu, ufundi na aina ya uchezaji.
Hakuna aliyesema kuwa Gamondi ni kocha mbovu bali overated!! Overated maana yake anapewa sifa kuzidi anazostahili!! Hata kama ni mzuri lakini si kihivyo!! Soon hii itakuwa wazi hasa kwenye ligi ya ndani!!
 
Ana bahati ya kuwa na wachezaji wazuri na ndio wanaombeba!! Anapewa sifa asizostahili!! Wachezaji wa yanga hata ukimpa Julio anaweza kutinga fainali CAF champions league!! Gamondi hamna kitu!!
20240803_230816.jpg
 
Sasa naona kuna watu wanampa credit Gamondi kwa magoli waliyofunga wachezaji wa yanga kwenye timu za mataifa yao!! Huu ni umbumbumbu wa kiwango cha PhD!! Wamefunga kwa mujibu wa game plan na mbinu walizopewa na kocha wa timu zao za Taifa!!
 
Non sense kwamba messi angecheza getafe badala ya Barcelona angeweka rekodi hizo au ronaldo angecheza astoni villa angekuwa na hizo rekodi na unamaanisha messi kucheza kwenye timu ya Barcelona yenye wachezaji bora kumezuia kusema messi ni bora .

Kocha bora ni kwa ajili ya timu bora lkn pia mchezaji bora ni kwa ajili ya timu bora Gurdiola hawezi kufundisha Nottingham forest kwa sasa

Na sio gamond pekee ni ubora wa bench la ufundi kuanzia makocha wa viungo madaktar wa timu video analyst hadi wapishi na wengine wote wakiwa sawa timu inasonga

Morinho alienda Tottenham alishindwa kwa sababu bennchi la ufundi lilikuwa na changamoto nyingi licha ya ubora wake kazi ikawa ngumu
 
Ana bahati ya kuwa na wachezaji wazuri na ndio wanaombeba!! Anapewa sifa asizostahili!! Wachezaji wa yanga hata ukimpa Julio anaweza kutinga fainali CAF champions league!! Gamondi hamna kitu!!
bado hamjasema mpk muombe maji kama mabinti wa buza....diaboya!!!
 
Back
Top Bottom