Kumchukulia poa gamond ni kuukosea heshima mpira, gamond ni genious kimbinu.Ile mechi watu walikuwa wanajiandaa tu kujua Yanga itatolewa kwa magoli mengi kwa idadi ipi na hata mashabiki wenyewe wa Yanga walikuwa wameshakubali matokeo kuwa Yanga itachezea mengi. Baada ya kutoka line up ndio kabisa watu wakapigia mstisri kuwa zitaokotwa nyingi nyavuni. Gamondi katoa surprise kwa mikakati ya kimbinu na ufundi. Ile mechi Mamelodi alikuwa anatolewa kama Mzize angekuwa makini na pia VAR ingekuwa imetumika inavyopaswa na mwamuzi wa kati.