Gamondi hamna kitu ana bahati ya kuwa na wachezaji wazuri na ndio wanaombeba!

Pamoja na kikosi chenu thamani yake kuwa Bil saba kwa mujibu wa Jaribu Tena,ila hakina ubora si una maanisha hivyo?.

Kocha bora lazima afundishe timu bora, timu bora haitaji kocha anaye jifunza na kutafuta uzoefu,Don Carlo hawezi fundisha Getafe,yy AC Milan, Bayern,Madrid,Chelsea.

Nyie ndio mpambane na huyo kocha wenu ambaye uzoefu wa kuwa kocha mkuu anakuja kuupatia kwenu ,maana huko kote alikuwa msaidizi.
 
Kama kuna kocha asha wahi gawa tano tano za kutosha ndani na nje ya nchi katika msimu mmoja zaidi ya Gamondi nitajie ili niamini kweli yupo overrated
 
Ana bahati ya kuwa na wachezaji wazuri na ndio wanaombeba!! Anapewa sifa asizostahili!! Wachezaji wa yanga hata ukimpa Julio anaweza kutinga fainali CAF champions league!! Gamondi hamna kitu!!
hata simba ina wachezaji wazuri sana ukinipa mimi inafika fainali ya CAF
 
Ana bahati ya kuwa na wachezaji wazuri na ndio wanaombeba!! Anapewa sifa asizostahili!! Wachezaji wa yanga hata ukimpa Julio anaweza kutinga fainali CAF champions league!! Gamondi hamna kitu!!
Hata kuifunga Simba goli 8-2 kabahatisha. Tunamtaka huyu huyu anayebahatisha.
 
Ana bahati ya kuwa na wachezaji wazuri na ndio wanaombeba!! Anapewa sifa asizostahili!! Wachezaji wa yanga hata ukimpa Julio anaweza kutinga fainali CAF champions league!! Gamondi hamna kitu!!
Tangu umejua hilo neno overrated, pamoja na kukosea namna linavyoandikwa, bado siku hizi hatunywi maji
 
Ana bahati ya kuwa na wachezaji wazuri na ndio wanaombeba!! Anapewa sifa asizostahili!! Wachezaji wa Yanga hata ukimpa Julio anaweza kutinga fainali CAF champions league!! Gamondi hamna kitu!!

UKISHAKULA MIHOGO NA MAHARAGWE YALIYO CHACHA UNAANZA KUCHAFUA HALI YA HEWA TU.
 
Ana bahati ya kuwa na wachezaji wazuri na ndio wanaombeba!! Anapewa sifa asizostahili!! Wachezaji wa Yanga hata ukimpa Julio anaweza kutinga fainali CAF champions league!! Gamondi hamna kitu!!
Kila mtu ana haki ya kutoa maoni yake ili mradi havunji sheria za nchi.
 
Ana bahati ya kuwa na wachezaji wazuri na ndio wanaombeba!! Anapewa sifa asizostahili!! Wachezaji wa Yanga hata ukimpa Julio anaweza kutinga fainali CAF champions league!! Gamondi hamna kitu!!
Gamond ni bonge la kocha, tizama team inavyocheza ktk falsafa yake, tizama anavyobadilika kimbinu.

Wakati team imewakosa aucho, pacome na yao gamond alitusuprise wengi ktk game ya mamelod

Kama wachezaji bora ndo kila kitu mokwena asingefukuzwa mamelod.
 
Dereva wa daladala hawezi kupewa semi trailer akaiendesha,ahsante.
 
Ana bahati ya kuwa na wachezaji wazuri na ndio wanaombeba!! Anapewa sifa asizostahili!! Wachezaji wa Yanga hata ukimpa Julio anaweza kutinga fainali CAF champions league!! Gamondi hamna kitu!!
Nlkuaga na mindset kama Yako ila match ya Mamelodi vs Yanga proved me wrong......GAMONDI NI KOCHA
 
Gamond ni bonge la kocha, tizama team inavyocheza ktk falsafa yake, tizama anavyobadilika kimbinu.

Wakati team imewakosa aucho, pacome na yao gamond alitusuprise wengi ktk game ya mamelod

Kama wachezaji bora ndo kila kitu mokwena asingefukuzwa mamelod.
Ile mechi watu walikuwa wanajiandaa tu kujua Yanga itatolewa kwa magoli mengi kwa idadi ipi na hata mashabiki wenyewe wa Yanga walikuwa wameshakubali matokeo kuwa Yanga itachezea mengi. Baada ya kutoka line up ndio kabisa watu wakapigia mstisri kuwa zitaokotwa nyingi nyavuni. Gamondi katoa surprise kwa mikakati ya kimbinu na ufundi. Ile mechi Mamelodi alikuwa anatolewa kama Mzize angekuwa makini na pia VAR ingekuwa imetumika inavyopaswa na mwamuzi wa kati.
 
Back
Top Bottom