joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 17,420
- 35,765
hata simba ina wachezaji wazuri sana ukinipa mimi inafika fainali ya CAFAna bahati ya kuwa na wachezaji wazuri na ndio wanaombeba!! Anapewa sifa asizostahili!! Wachezaji wa yanga hata ukimpa Julio anaweza kutinga fainali CAF champions league!! Gamondi hamna kitu!!
Hata kuifunga Simba goli 8-2 kabahatisha. Tunamtaka huyu huyu anayebahatisha.Ana bahati ya kuwa na wachezaji wazuri na ndio wanaombeba!! Anapewa sifa asizostahili!! Wachezaji wa yanga hata ukimpa Julio anaweza kutinga fainali CAF champions league!! Gamondi hamna kitu!!
😆😆Kwamba Guardiola akiwafundisha mashujaa wanaweza kutwaa ubingwa CAF
Usijali tutakupa wewe ufundisheAna bahati ya kuwa na wachezaji wazuri na ndio wanaombeba!! Anapewa sifa asizostahili!! Wachezaji wa yanga hata ukimpa Julio anaweza kutinga fainali CAF champions league!! Gamondi hamna kitu!!
Tangu umejua hilo neno overrated, pamoja na kukosea namna linavyoandikwa, bado siku hizi hatunywi majiAna bahati ya kuwa na wachezaji wazuri na ndio wanaombeba!! Anapewa sifa asizostahili!! Wachezaji wa yanga hata ukimpa Julio anaweza kutinga fainali CAF champions league!! Gamondi hamna kitu!!
Hahahaha 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 hahaaaaaaaaaaaa.Kwamba Guardiola akiwafundisha mashujaa wanaweza kutwaa ubingwa CAF
Ana bahati ya kuwa na wachezaji wazuri na ndio wanaombeba!! Anapewa sifa asizostahili!! Wachezaji wa Yanga hata ukimpa Julio anaweza kutinga fainali CAF champions league!! Gamondi hamna kitu!!
Kila mtu ana haki ya kutoa maoni yake ili mradi havunji sheria za nchi.Ana bahati ya kuwa na wachezaji wazuri na ndio wanaombeba!! Anapewa sifa asizostahili!! Wachezaji wa Yanga hata ukimpa Julio anaweza kutinga fainali CAF champions league!! Gamondi hamna kitu!!
HahahaKwamba Guardiola akiwafundisha mashujaa wanaweza kutwaa ubingwa CAF
Gamond ni bonge la kocha, tizama team inavyocheza ktk falsafa yake, tizama anavyobadilika kimbinu.Ana bahati ya kuwa na wachezaji wazuri na ndio wanaombeba!! Anapewa sifa asizostahili!! Wachezaji wa Yanga hata ukimpa Julio anaweza kutinga fainali CAF champions league!! Gamondi hamna kitu!!
Ana bahati ya kuwa na wachezaji wazuri na ndio wanaombeba!! Anapewa sifa asizostahili!! Wachezaji wa Yanga hata ukimpa Julio anaweza kutinga fainali CAF champions league!! Gamondi hamna kitu!
Mh!Naunga mkono hoja...au basi
Nlkuaga na mindset kama Yako ila match ya Mamelodi vs Yanga proved me wrong......GAMONDI NI KOCHAAna bahati ya kuwa na wachezaji wazuri na ndio wanaombeba!! Anapewa sifa asizostahili!! Wachezaji wa Yanga hata ukimpa Julio anaweza kutinga fainali CAF champions league!! Gamondi hamna kitu!!
NI ZAIDI YA KOCHA, uwezo wake ndo ulimpeleka mamelod, wydad, cr belozdad nk...Nlkuaga na mindset kama Yako ila match ya Mamelodi vs Yanga proved me wrong......GAMONDI NI KOCHA
Ile mechi watu walikuwa wanajiandaa tu kujua Yanga itatolewa kwa magoli mengi kwa idadi ipi na hata mashabiki wenyewe wa Yanga walikuwa wameshakubali matokeo kuwa Yanga itachezea mengi. Baada ya kutoka line up ndio kabisa watu wakapigia mstisri kuwa zitaokotwa nyingi nyavuni. Gamondi katoa surprise kwa mikakati ya kimbinu na ufundi. Ile mechi Mamelodi alikuwa anatolewa kama Mzize angekuwa makini na pia VAR ingekuwa imetumika inavyopaswa na mwamuzi wa kati.Gamond ni bonge la kocha, tizama team inavyocheza ktk falsafa yake, tizama anavyobadilika kimbinu.
Wakati team imewakosa aucho, pacome na yao gamond alitusuprise wengi ktk game ya mamelod
Kama wachezaji bora ndo kila kitu mokwena asingefukuzwa mamelod.