Gamondi hamna kitu ana bahati ya kuwa na wachezaji wazuri na ndio wanaombeba!

Kumchukulia poa gamond ni kuukosea heshima mpira, gamond ni genious kimbinu.
 
Ana bahati ya kuwa na wachezaji wazuri na ndio wanaombeba!! Anapewa sifa asizostahili!! Wachezaji wa Yanga hata ukimpa Julio anaweza kutinga fainali CAF champions league!! Gamondi hamna kitu!!
kua wewe kocha ........msiiiiiiiiiium ustuchanganye apaaa
 
Ana bahati ya kuwa na wachezaji wazuri na ndio wanaombeba!! Anapewa sifa asizostahili!! Wachezaji wa Yanga hata ukimpa Julio anaweza kutinga fainali CAF champions league!! Gamondi hamna kitu!!
Kumbe hata wewe unaweza pewa majukumu yake
 
Na sasa hivi wanataka kumfukuza zungu pori gamondi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…