Bado hamjasema "....yani mpaka mseme......" 😁😁😁Sio kweli wachezaji sio maroboti ukiangalia Pacome alishachoka, wachezaji wametumika sana angalia yanga amecheza gemu back to back fatique na aliwatoa kwa ajili ya gemu ngumu ya prison kumbuka yanga kesho yupo safarini tarehe 10 warm up tarehe 11 anacheza, ratiba ngumu sana hii kwa yanga.
uliangalia game? au ulihadithiwa, unabisha vitu vipo wazi kabisa.Sio kweli wachezaji sio maroboti ukiangalia Pacome alishachoka, wachezaji wametumika sana angalia yanga amecheza gemu back to back fatique na aliwatoa kwa ajili ya gemu ngumu ya prison kumbuka yanga kesho yupo safarini tarehe 10 warm up tarehe 11 anacheza, ratiba ngumu sana hii kwa yanga.
post msimamo, ukipost nakutumia elfu 50 hapa, sio kama yale magoli yenu ya kupewa na TABORA UNITEDBado hamjasema "....yani mpaka mseme......" 😁😁😁
Na mtasemaaaaa 😀😀😀
Kazi ya wachezaji ni nini?Sio kweli wachezaji sio maroboti ukiangalia Pacome alishachoka, wachezaji wametumika sana angalia yanga amecheza gemu back to back fatique na aliwatoa kwa ajili ya gemu ngumu ya prison kumbuka yanga kesho yupo safarini tarehe 10 warm up tarehe 11 anacheza, ratiba ngumu sana hii kwa yanga.
Sio kweli wachezaji sio maroboti ukiangalia Pacome alishachoka, wachezaji wametumika sana angalia yanga amecheza gemu back to back fatique na aliwatoa kwa ajili ya gemu ngumu ya prison kumbuka yanga kesho yupo safarini tarehe 10 warm up tarehe 11 anacheza, ratiba ngumu sana hii kwa yanga.
nakubali hana maisha marefu atafukuzwa soonHuku game dhidi ya Mashujaa ikiwa ngumu, amewatoa Aucho na Pakome waliokuwa wanaichezesha vyema timu. Baada ya hapo game ikawa ngumu sana na timu pinzani wakaanza kuja bila woga. Nadhani hajajua kuiheshimu ligi hii. Ikumbukwe kuwa alibadili sehemu kubwa ya kikosi dhidi ya Ihefu, kilichotokea kinafahamika.
Ameshindwa kabisa kuweka uwiano sawa kati ya wachezaji wa kikosi cha kwanza na wale wa akiba. Siku zake zinahesabika
Kwa mechi ya Kagera na mechi ya leo amenistajabisha maamuzi yake. Kwa mechi ya Dodoma jiji ni wachezaji ndio walikuwa changamoto katika utulivu. Mapumziko waliyotoa kwa wachezaji wa Yanga yataleta athari kubwa sana kwa YangaSawa tunashinda ila Gamondi bado sijamuelewa
Upo sahihi kocha alicheza kamari kubwa Leo.Wewe nawe wachezaji wametumika wapi wakati walipewa bata zaidi ya mwezi. Huwezi kufikiria ya kesho kabla ya kuwa na uhakika wa asilimia 100 na ya leo.
Kocha alichofanya leo ni kosa kubwa sana katika mechi ngumu. Unaanza kwanza kuhakikisha unapata alama tatu za leo kisha ndio ujiandae kwa yajayo
Guede wamemjaza maneno ya ukubwa. Nina wasiwasi Ali Kamwe na Priva wamemjaza sifa na kuonekana kama yeye ndiye kabebeshwa mzigo wa muarobaini wa tatizo la ubutu wa forward Yanga. Kwahiyo anacheza huku akili yake ikikosa utulivuUpo sahihi kocha alicheza kamari kubwa Leo.
Pengo la Diarra limeonekana Leo .Yule dogo msheri hamna kitu huenda Hata metacha asingefungwa lile goli...
Mi naona Yanga walianza game kwa pressure kubwa walitaka wamaliźe game mapema,ile game ilihitaji utulivu kidogoKwa mechi ya Kagera na mechi ya leo amenistajabisha maamuzi yake. Kwa mechi ya Dodoma jiji ni wachezaji ndio walikuwa changamoto katika utulivu. Mapumziko waliyotoa kwa wachezaji wa Yanga yataleta athari kubwa sana kwa Yanga
Sasa unawapumzishaje manguli wa timu wakati huna uhakika wa ushindi?Sio kweli wachezaji sio maroboti ukiangalia Pacome alishachoka, wachezaji wametumika sana angalia yanga amecheza gemu back to back fatique na aliwatoa kwa ajili ya gemu ngumu ya prison kumbuka yanga kesho yupo safarini tarehe 10 warm up tarehe 11 anacheza, ratiba ngumu sana hii kwa yanga.
Sema tukikutana na mke wetu tutarudia goli 5Bado hamjasema "....yani mpaka mseme......" [emoji16][emoji16][emoji16]
Na mtasemaaaaa [emoji3][emoji3][emoji3]