Robidinyo
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 4,043
- 8,686
Mapumziko special waliyopewa pacome na aucho ndo yanawatafuna na kuitafuna timuUmecheza mpira wewe au unadhani wachezaji wanatumia diesel nini, misuli ikitumika sana ni risk kwa wachezaji either kupata tear, cramps, au misuli kukaza kocha anakwambia wachezaji walipata injury na bado ana gemu ngumu mbeleniView attachment 2898252