Gamondi hana maisha Yanga

Gamondi hana maisha Yanga

Umecheza mpira wewe au unadhani wachezaji wanatumia diesel nini, misuli ikitumika sana ni risk kwa wachezaji either kupata tear, cramps, au misuli kukaza kocha anakwambia wachezaji walipata injury na bado ana gemu ngumu mbeleniView attachment 2898252
Mapumziko special waliyopewa pacome na aucho ndo yanawatafuna na kuitafuna timu
 
Back
Top Bottom