Gamondi hana maisha Yanga

Kweli kabisa
 
Kazi ya wachezaji ni nini?
Umecheza mpira wewe au unadhani wachezaji wanatumia diesel nini, misuli ikitumika sana ni risk kwa wachezaji either kupata tear, cramps, au misuli kukaza kocha anakwambia wachezaji walipata injury na bado ana gemu ngumu mbeleni
 
Kwa mechi ya Kagera na mechi ya leo amenistajabisha maamuzi yake. Kwa mechi ya Dodoma jiji ni wachezaji ndio walikuwa changamoto katika utulivu. Mapumziko waliyotoa kwa wachezaji wa Yanga yataleta athari kubwa sana kwa Yanga
Yameshaleta athari mkuu huoni wachezaji wanavyopata shida uwanjani,unaona kabisa comfortability ndogo
Ni kama wengi wamekuja kutokea likizo wakiwa hawana mazoezi yoyote na kuanza kucheza kwa Kutumia uzoefu ila hapa uongozi unastahili lawama huwezi ongoza team kisela Kila siku mchezaji yuko likizo kama haipendi team aondoke
Kila Pro kaisha rejea kwenye team yake baada ya Afcon si wetu bado wako likizo (Aziz na Diara) as if wamechukua kombe la afcon
 
Kamwe ni filimbi ya Hersi kosa ni lake na Guede wake nadhani hii ndio sajili ya hovyo kabisa kuwahi kufanywa na Yanga Bora wangemchukua Akandwa nao yule dogo wa Mlandege
 
Guede wamemjaza maneno ya ukubwa. Nina wasiwasi Ali Kamwe na Priva wamemjaza sifa na kuonekana kama yeye ndiye kabebeshwa mzigo wa muarobaini wa tatizo la ubutu wa forward Yanga. Kwahiyo anacheza huku akili yake ikikosa utulivu
Hamna ni hajui mpira
 


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ww ule mshuti ungedaka? Ni kama ule wa Kibu dee huyo Diarra angetenguliwa taya...msipende kulaumu laumu..huyo kipa anajitahidi..
 
nimemsikiliza kwa makini,hakika nimemwelewa
 
Mimi nafikiri yanga ingeweka nguvu zaidi Kwa mzize aaminiwe apewe nafasi apate uzoefu zaidi kuliko kuendelea kuleta watu kama Hawa kina guede, useless. Kocha aache kucheza na straika wawili haimsaidii kabisa. Mzize awe lone straika namba moja kwa mechi zote mjazie viungo na mawinga dogo anajitahidi sana
 
Umecheza mpira wewe au unadhani wachezaji wanatumia diesel nini, misuli ikitumika sana ni risk kwa wachezaji either kupata tear, cramps, au misuli kukaza kocha anakwambia wachezaji walipata injury na bado ana gemu ngumu mbeleniView attachment 2898252
Pambaneni na hali zenu
 
nimebadili msimamo,hakika gamondi ni master,maamuzi yake yote ni muhimu sana na yenye kuona mbali
 
Gamondi alizingua sana, Sub ya Pakome, Aucho na Gift Fredy hata sioni ni kwanini zilifanyika.
Ilikua wazi kwamba Pakome ndiye alizima mashambulizi ya mashujaa kwa kuwafanya wapaki basi, kumtoa Pakome ilihitajika timu iwe inaongoza kwa goli 3 hadi 4, lakini si katika mazingira yale ya kuongoza kwa goli moja na gumu.
Kuhusu Geude, hebu muangalieni vizuri, mnaweza msimlaumu. Goli la pili alichofanya ni kum block golikipa. Kuna vitu anavifanya, lakini watu wametangulia kwenye magoli na makeke. Pia naamini kwa uchezeshaji wa Aziz Ki, anaweza akamsaidia kumrudisha uwanjani.
 
Sasa unawapumzishaje manguli wa timu wakati huna uhakika wa ushindi?
Manguli wa timu walipumzishwa kwa sababu walipata majeraha kidogo.
Tukaona bora tuwapumzishe kuhofia majeraha kuwa makubwa na kupelekea kuja kuwakosa kwenye mechi kubwa, ngumu na muhimu zaidi.
Usipoziba ufa utajenga ukuta.
 
Kamwe ni filimbi ya Hersi kosa ni lake na Guede wake nadhani hii ndio sajili ya hovyo kabisa kuwahi kufanywa na Yanga Bora wangemchukua Akandwa nao yule dogo wa Mlandege
Sajili za aina hii wakati mungine unaweza kufikiri kuna mtu amekula pasenti .
 
Huu mvurugano muende nao mpaka kwenye game dhidi ya waarabu wote wawili, mkandwe kisawasawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…