- Thread starter
- #21
Ndo hapoKazi ya wachezaji ni nini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndo hapoKazi ya wachezaji ni nini?
Kweli kabisaWewe nawe wachezaji wametumika wapi wakati walipewa bata zaidi ya mwezi. Huwezi kufikiria ya kesho kabla ya kuwa na uhakika wa asilimia 100 na ya leo.
Kocha alichofanya leo ni kosa kubwa sana katika mechi ngumu. Unaanza kwanza kuhakikisha unapata alama tatu za leo kisha ndio ujiandae kwa yajayo
Tunapenda Yanga yetu ishinde siku zote. Ikiwezekana kwa goli 5Huwa nasikia raha sana wanayanga wakiteseka [emoji2][emoji2][emoji2]
Umecheza mpira wewe au unadhani wachezaji wanatumia diesel nini, misuli ikitumika sana ni risk kwa wachezaji either kupata tear, cramps, au misuli kukaza kocha anakwambia wachezaji walipata injury na bado ana gemu ngumu mbeleniKazi ya wachezaji ni nini?
Yameshaleta athari mkuu huoni wachezaji wanavyopata shida uwanjani,unaona kabisa comfortability ndogoKwa mechi ya Kagera na mechi ya leo amenistajabisha maamuzi yake. Kwa mechi ya Dodoma jiji ni wachezaji ndio walikuwa changamoto katika utulivu. Mapumziko waliyotoa kwa wachezaji wa Yanga yataleta athari kubwa sana kwa Yanga
Kamwe ni filimbi ya Hersi kosa ni lake na Guede wake nadhani hii ndio sajili ya hovyo kabisa kuwahi kufanywa na Yanga Bora wangemchukua Akandwa nao yule dogo wa MlandegeUpo sahihi kocha alicheza kamari kubwa Leo.
Pengo la Diarra limeonekana Leo .Yule dogo msheri hamna kitu huenda Hata metacha asingefungwa lile goli .
Halafu Huyu Joseph guede amesajiliwa kwa pendekezo la kocha au ali kamwe na privaldinho?
Haiwezekani mchezaji yupo uwanja haonyeshi juhudi yoyote halafu akitolewa anacheka.
Waliomleta walitumia vigezo gani kumleta?
Hili ni kosa kubwa sana la kiufundi hasa kwa jinsi kina kamwe na mwenzake walivyompigia debe vya kutosha .
Hamna ni hajui mpiraGuede wamemjaza maneno ya ukubwa. Nina wasiwasi Ali Kamwe na Priva wamemjaza sifa na kuonekana kama yeye ndiye kabebeshwa mzigo wa muarobaini wa tatizo la ubutu wa forward Yanga. Kwahiyo anacheza huku akili yake ikikosa utulivu
Huku game dhidi ya Mashujaa ikiwa ngumu, amewatoa Aucho na Pacome waliokuwa wanaichezesha vyema timu. Baada ya hapo game ikawa ngumu sana na timu pinzani wakaanza kuja bila woga.
Nadhani hajajua kuiheshimu ligi hii. Ikumbukwe kuwa alibadili sehemu kubwa ya kikosi dhidi ya Ihefu, kilichotokea kinafahamika.
Ameshindwa kabisa kuweka uwiano sawa kati ya wachezaji wa kikosi cha kwanza na wale wa akiba. Siku zake zinahesabika
Ww ule mshuti ungedaka? Ni kama ule wa Kibu dee huyo Diarra angetenguliwa taya...msipende kulaumu laumu..huyo kipa anajitahidi..Upo sahihi kocha alicheza kamari kubwa Leo.
Pengo la Diarra limeonekana Leo .Yule dogo msheri hamna kitu huenda Hata metacha asingefungwa lile goli .
Halafu Huyu Joseph guede amesajiliwa kwa pendekezo la kocha au ali kamwe na privaldinho?
Haiwezekani mchezaji yupo uwanja haonyeshi juhudi yoyote halafu akitolewa anacheka.
Waliomleta walitumia vigezo gani kumleta?
Hili ni kosa kubwa sana la kiufundi hasa kwa jinsi kina kamwe na mwenzake walivyompigia debe vya kutosha .
nimemsikiliza kwa makini,hakika nimemwelewaHuku game dhidi ya Mashujaa ikiwa ngumu, amewatoa Aucho na Pacome waliokuwa wanaichezesha vyema timu. Baada ya hapo game ikawa ngumu sana na timu pinzani wakaanza kuja bila woga.
Nadhani hajajua kuiheshimu ligi hii. Ikumbukwe kuwa alibadili sehemu kubwa ya kikosi dhidi ya Ihefu, kilichotokea kinafahamika.
Ameshindwa kabisa kuweka uwiano sawa kati ya wachezaji wa kikosi cha kwanza na wale wa akiba. Siku zake zinahesabika
Amesemaje? Maana wengine tulikuwa tunahamu na filimbi ya mwisho tuinuke maana presha zilikuwa juu.nimemsikiliza kwa makini,hakika nimemwelewa
Pambaneni na hali zenuUmecheza mpira wewe au unadhani wachezaji wanatumia diesel nini, misuli ikitumika sana ni risk kwa wachezaji either kupata tear, cramps, au misuli kukaza kocha anakwambia wachezaji walipata injury na bado ana gemu ngumu mbeleniView attachment 2898252
nimebadili msimamo,hakika gamondi ni master,maamuzi yake yote ni muhimu sana na yenye kuona mbaliHuku game dhidi ya Mashujaa ikiwa ngumu, amewatoa Aucho na Pacome waliokuwa wanaichezesha vyema timu. Baada ya hapo game ikawa ngumu sana na timu pinzani wakaanza kuja bila woga.
Nadhani hajajua kuiheshimu ligi hii. Ikumbukwe kuwa alibadili sehemu kubwa ya kikosi dhidi ya Ihefu, kilichotokea kinafahamika.
Ameshindwa kabisa kuweka uwiano sawa kati ya wachezaji wa kikosi cha kwanza na wale wa akiba. Siku zake zinahesabika
Gamondi alizingua sana, Sub ya Pakome, Aucho na Gift Fredy hata sioni ni kwanini zilifanyika.Ila kusema ule ukweli; kocha anatakiwa abadilishe mfumo wa uchezaji wa timu.
Nahisi huu mfumo wake wa sasa umezoeleka, na pia ni rahisi kwa timu pinzani kuudhibiti kwa njia nyepesi tu ya kupaki basi.
Kagera sugar walifanikiwa, na hivyo kupata sare! Na Tabora United + Mashujaa, na wenyewe wametumia njia ile ile! Mwisho wa siku Yanga wameshinda mechi zote mbili kwa mbinde kweli kweli.
Tukija kwenye mechi ya leo, ni kweli kocha alichemka kumtoa Aucho na Pacome. Wachezaji waliostahili kutolewa mapema walikuwa ni Mzize na yule Guede wake ambaye kwa dakika zaidi ya 80 alizocheza; kwa kweli hakuna alichokifanya ndani ya uwanja.
Manguli wa timu walipumzishwa kwa sababu walipata majeraha kidogo.Sasa unawapumzishaje manguli wa timu wakati huna uhakika wa ushindi?
Sajili za aina hii wakati mungine unaweza kufikiri kuna mtu amekula pasenti .Kamwe ni filimbi ya Hersi kosa ni lake na Guede wake nadhani hii ndio sajili ya hovyo kabisa kuwahi kufanywa na Yanga Bora wangemchukua Akandwa nao yule dogo wa Mlandege