Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
Japo unafanya kazi nzuri, lakini ulikosea sana kuweka kikosi kizima cha first eleven ulipocheza na Azam katika mchezo wa ligi kuu huku ukikabiliwa na mechi muhimu dhidi ya Mamelodi.
Najiuliza tungepata majeruhi zaidi, leo hali ingekuwaje?
Kesho mkifuzu, ni bora kuchezesha asilimia kubwa ya wachezaji wa wanaoka benchi katika mechi za ligi kwani wachawi wanaweza kuumiza tena wachezaji wetu kwa makusudi kabisa ili kutuhujumu.
Pacome na Yao kama hawajapona vizuri, ni bora kuwaacha ili wapone watusaidie katika mechi zingine za ligi kuu kuliko kuwacheza wakajitonesha halafu isisaidie na zaidi tukawakosa tena kwenye mechi za ligi kuu.
Kazi kwako.