MwananchiOG
JF-Expert Member
- Apr 4, 2023
- 1,970
- 4,037
Kwa sasa kikosi cha Yanga kimekamilika mno kiasi kwamba kama kitaweza kutumia efficiency yake walau kwa 70% basi hata vilabu vingine vilivyotwaa ubingwa wa Afrika kama Al ahly, Wydad, Raja n.k vitapata taabu sana. Ubora wa wachezaji wa Yanga ni wa hali ya juu sana. Tukizungumzia utatu wa pale mbele, combo Ya Chama, Aziz ki, Mzinze au ya Pacome, Dube, Aziz ki ni combo tishio mno, bila kumsahau Max Nzengeli. Kwa kifupi kocha anazo options nyingi kulingana na mchezo husika. Ni swala la muda tu. Yanga Bingwa Afrika