UMUGHAKA
JF-Expert Member
- Sep 1, 2021
- 2,753
- 12,932
Nsikuchoshe na Usinchoshe, Tusichoshane!
Nadhani kama ni kushauri nimeshauri sana!,sijajua kama viongozi wangu wa timu pendwa Afrika Kwa Sasa ya Yanga huwa wanapata wasaa wa kupita huku JF na kuokota chochote kitu kutoka Kwa wadau ili kumfikisha Gamondi kichwa kigumu Yale yote tunayotaka ayafanyie kazi!
Tafadhali sana Gamondi naomba utakapopanga kikosi hiyo kesho,naomba usianze na wapuuzi wako ambao unawapenda utadhani huwa wanakufanyia masaji!
KIKOSI KIFUATACHO INAPASWA KIANZE HIYO KESHO!
1.Djigui Diara
2.Yao kwasi
3.Kibabage
4.Dickson Job
5.Mwamnyeto
6.Sure boy
7.Clement Mzize
8.Mudathir
9.Jean Baleke
10.Pacome
Kikosi hiki kikianza naamini tutashinda si chini ya goli 5
Tofauti na hapo ukiwaanzisha hao mazezeta wako wa kila siku,Tabora anaondoka na pointi eidha zitakuwa 3 au 1.
Kazi ni kwako Gamondi kichwa kigumu!