pesakilakitu
JF-Expert Member
- Aug 17, 2024
- 1,618
- 2,861
Hatumtaki hersi ..walisikika mashabik wa supu fc.Siku sio nyingi Simba naye ataanza kukamiwa
Maana Yanga anakamiwa kila mechi mfano KMC ilmkamia Yanga sasa subiri wakamiaji wahamie SIMBA mtalia