Gamondi kesho ukiendelea kusikiliza Hip Hop na kutupilia mbali wabana pua,Tabora atakuchezesha amapiano

je yao yao kapona?
 
Yanga ni bingwa yaan ana asilimia 80

Mengine ni kelele tu kama ilivyokuwa mechi tano za mwanzo msimu huu.
Hali itatulia
 
Injinia amefanya usajili mzuri sana ana jicho la kuona mbali Dube leo acheze dakika 90. Mimi ni Yanga damu Dube atakuwa mfungaji bora
 
Ubingwa si kwa Kila timu, Timu zingine zipo kwenye Ligi kama Challengers, Ubingwa upo kwaajili ya Yanga.
 
Ajabu kila mkikutana na hao wazee mnachezea kipigo mujarabu
 
Yanga bingwa.. hata kama kolo tukumuongeza point kumi mbele bado hawezi kushinda
 
Unajuaje kati ya hao uliowataja wako katika utimamu wa mwili na akili kwa mechi ya leo au uko kwenye benchi la ufundi?
 
Mkuu hichi kikosi anaenda na formation gani

Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…