NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 10,587
- 13,425
- Thread starter
- #21
Ulimuangalia VIZURI?!Nkane alipewa nafasi akashindwa ku perform kombe la mapinduzi .
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ulimuangalia VIZURI?!Nkane alipewa nafasi akashindwa ku perform kombe la mapinduzi .
walimuhusisha TU lakini haikuwa RasmiHivi sikuonaga wonder kid aliuzwa mashujaa dirisha dogo?
Kama LENGO ni USHINDI tu wengine wasingeshangiliwaLengo la Kocha ni Ushindi na Consistency.
Hayo mengine ni hiari kwske.
tena walipost kabisa kwa page yaowalimuhusisha TU lakini haikuwa Rasmi
Wachezaji wazawa hawajitambui mpaka kupata namba mpaka muwapigie debe. Mpira ni mchezo unaochezwa hadharani angekuwa na uwezo huo unaousema angekuwa ashaingia kikosi cha kwanza zamani sana.Denis Nkane ni Moja Kati ya Talanta kuntu sana katika taifa letu, Talanta hii kocha wa mpira Mohammed Nabi aliiamini kabisa na iliipa matokeo "what a supersub" Naam hakuna asiyekua umuhimu wa wa bwana mdogo Denis Nkane katika kikosi Cha Yanga Sc kipindi Cha Nabi.
Toka amekuja Kocha Gamond bwana mdogo hapati namba kabisa lakini siyo Kwamba Hana kiwango (kiwango kimeshuka) hapana waliopo mazoezini bwana mdogo anakiwasha vizuri Ila tatizo lipo kwa kocha Gamond kumpanga bwana mdogo Denis Nkane.
Nimekua nikijiuliza tatizo ni nin mpaka asipagwe urefu au nini? Na kama ni urefu mbona Nabi alimtumia na ufupi wake?!
Ombi langu kwa benchi la ufundi: Denis Nkane na yeye apewe namba acheze kwani kukaa benchi kila siku bila ya match fitness kiwango chake kinazidi kudumaa.
Kama benchi la ufundi liliweza kumvumilia Guedejr, Jonas Mkude na Clement Mzinze tuliokuwa tunawakejeli na kuwatukana kwa kiwango kibovu nikieepo na Mimi mwenyewe Sasa kwa Nini Denis Nkane asipewe Mechi?!
sasa uwezo utaonekana vi[pi wakati hapati nafasi ya kuchezaWachezaji wazawa hawajitambui mpaka kupata namba mpaka muwapigie debe. Mpira ni mchezo unaochezwa hadharani angekuwa na uwezo huo unaousema angekuwa ashaingia kikosi cha kwanza zamani sana.
Uwezo sio lazima uuone wewe hio ni kazi ya kocha ambae yuko nae mazoezini kila sikusasa uwezo utaonekana vi[pi wakati hapati nafasi ya kucheza