Gamondi na Benchi lake la ufundi wanapaswa kumvumilia Denis Nkane Kama wanavyomvumilia Clement Mzinze

Gamondi na Benchi lake la ufundi wanapaswa kumvumilia Denis Nkane Kama wanavyomvumilia Clement Mzinze

Denis Nkane ni Moja Kati ya Talanta kuntu sana katika taifa letu, Talanta hii kocha wa mpira Mohammed Nabi aliiamini kabisa na iliipa matokeo "what a supersub" Naam hakuna asiyekua umuhimu wa wa bwana mdogo Denis Nkane katika kikosi Cha Yanga Sc kipindi Cha Nabi.

Toka amekuja Kocha Gamond bwana mdogo hapati namba kabisa lakini siyo Kwamba Hana kiwango (kiwango kimeshuka) hapana waliopo mazoezini bwana mdogo anakiwasha vizuri Ila tatizo lipo kwa kocha Gamond kumpanga bwana mdogo Denis Nkane.

Nimekua nikijiuliza tatizo ni nin mpaka asipagwe urefu au nini? Na kama ni urefu mbona Nabi alimtumia na ufupi wake?!

Ombi langu kwa benchi la ufundi: Denis Nkane na yeye apewe namba acheze kwani kukaa benchi kila siku bila ya match fitness kiwango chake kinazidi kudumaa.

Kama benchi la ufundi liliweza kumvumilia Guedejr, Jonas Mkude na Clement Mzinze tuliokuwa tunawakejeli na kuwatukana kwa kiwango kibovu nikieepo na Mimi mwenyewe Sasa kwa Nini Denis Nkane asipewe Mechi?!
Wachezaji wazawa hawajitambui mpaka kupata namba mpaka muwapigie debe. Mpira ni mchezo unaochezwa hadharani angekuwa na uwezo huo unaousema angekuwa ashaingia kikosi cha kwanza zamani sana.
 
Wachezaji wazawa hawajitambui mpaka kupata namba mpaka muwapigie debe. Mpira ni mchezo unaochezwa hadharani angekuwa na uwezo huo unaousema angekuwa ashaingia kikosi cha kwanza zamani sana.
sasa uwezo utaonekana vi[pi wakati hapati nafasi ya kucheza
 
Back
Top Bottom