Gamondi, Nabi hawana uwezo ila tunaojua soka la bongo tunajua nguvu za giza zinavyotumika kuwafanya waonekane bora

makolo mnaamini sana kwenye uchawi ndio maana bila aibu mkawasha moto uwanjani,wachezaji wenu wanarogana,match ya tanga mkaenda kuvunja nazi mbele ya bank mchana kweupe,mnatia aibu nyie primitive
 

Attachments

  • VID-20230814-WA0031.mp4
    2 MB
Mmeanza kuwa wanajimu[emoji1] na bado
 
Huyu ni Mjuaji wa soka la Bongo.
 
Na sasa hivi habari zinazosemwa mtaani ni kwamba YANGA SC ule uwanja wa Azam sasa hivi wameuroga na wameutengeneza na kuzika vitu vya kila aina na kila atakayeingia pale lazima achezee 5G. Yanga wameuroga ule Uwanja hata Azam FC mwenye uwanja hajafanya makafara kama waliyoyafanya Yanga.
 
Aiseeeeee, pelekeni basi Taifa stars wakachukue world cup kwani nyie mna ulozi hodari. Mawazo ya Kijuha na kimaskini haya.
 
Sasa kama mambo ni rahisi hivyo si kila mmoja angekuwa bingwa?
 
Bado hujasema, na utasema tu..!!!
Waliowahi kupigwa faini kisa uchawi ni Simba
 
Una akili ya kuvukia barabara tu..!! Tena barabara yenyewe ya huko Mtimbwilimbwi..!!
 
IQ ni tatizo kubwa kwa watanzania kama huyu
 
Aiseeeeee, pelekeni basi Taifa stars wakachukue world cup kwani nyie mna ulozi hodari. Mawazo ya Kijuha na kimaskini haya.
Nimequote nilichokisikia kitaa,
Una akili ya kuvukia barabara tu..!! Tena barabara yenyewe ya huko Mtimbwilimbwi..!!
Akili wewe ndio hu ndio hauna nimeandika Mtaani watu wanasema. Sasa hapo tatizo langu liko wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…