Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 40,905
- 86,203
HahahahaMkuu tunawasubiri klabu bingwa[emoji1787][emoji1787]wakienda hata makundi tu niiteni mbwaa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HahahahaMkuu tunawasubiri klabu bingwa[emoji1787][emoji1787]wakienda hata makundi tu niiteni mbwaa.
Hahaaaaa, hatari hiyo ndio maana anaweweseka humu.Safari hii stress zitakuua. Shemeji mume wa dada yako hakutaki kwake, bado Gamondi nae anakupasulia viza..
Wewe ni mbwaa tangu zamaniMkuu tunawasubiri klabu bingwa[emoji1787][emoji1787]wakienda hata makundi tu niiteni mbwaa.
Mmeanza kuwa wanajimu[emoji1] na badoHakuna cha ubora wa nini, iweje Bangala na Feitoto waonekane wachezaji wa kawaida tu wakiwa azam wakati walipokuwa Yanga walikuwa mastaa na walikuwa wanaupiga mwingi.
Leo Feitoto na Bangala wanaonekana wazito na hawana mvuto, ilhali Gamondi anaonekana mtaalamu kuliko Nabi.
Huyo huyo Gamondi mpeleke akafundishe JKT Ruvu halafu Kocha wa Ruvu aende Yanga bado Yanga itashinda tu.
Kuna nyota wanatembelea Yanga ambayo haihusiani na masuala ya kiufundi, ndio maana juzi wakati wanacheza na ADT ya Djibouti walisema ni xku ya Max Nzengeli ya kuchomekea, siku ile wajanja tulijua kuwa nyota ya ushindi kapewa yeye, ni rahisi sana kutabiri matukio ya Yanga kutokana na mipango yao nje ya uwanja.
Hakuna cha Gamondi wala nini, ni mipango nje ya uwanja inafanya kazi.
Huyu ni Mjuaji wa soka la Bongo.Hakuna cha ubora wa nini, iweje Bangala na Feitoto waonekane wachezaji wa kawaida tu wakiwa azam wakati walipokuwa Yanga walikuwa mastaa na walikuwa wanaupiga mwingi.
Leo Feitoto na Bangala wanaonekana wazito na hawana mvuto, ilhali Gamondi anaonekana mtaalamu kuliko Nabi.
Huyo huyo Gamondi mpeleke akafundishe JKT Ruvu halafu Kocha wa Ruvu aende Yanga bado Yanga itashinda tu.
Kuna nyota wanatembelea Yanga ambayo haihusiani na masuala ya kiufundi, ndio maana juzi wakati wanacheza na ADT ya Djibouti walisema ni xku ya Max Nzengeli ya kuchomekea, siku ile wajanja tulijua kuwa nyota ya ushindi kapewa yeye, ni rahisi sana kutabiri matukio ya Yanga kutokana na mipango yao nje ya uwanja.
Hakuna cha Gamondi wala nini, ni mipango nje ya uwanja inafanya kazi.
Utadhani amepigwa busu na jiniHahaaaaa, hatari hiyo ndio maana anaweweseka humu.
Na sasa hivi habari zinazosemwa mtaani ni kwamba YANGA SC ule uwanja wa Azam sasa hivi wameuroga na wameutengeneza na kuzika vitu vya kila aina na kila atakayeingia pale lazima achezee 5G. Yanga wameuroga ule Uwanja hata Azam FC mwenye uwanja hajafanya makafara kama waliyoyafanya Yanga.Hakuna cha ubora wa nini, iweje Bangala na Feitoto waonekane wachezaji wa kawaida tu wakiwa azam wakati walipokuwa Yanga walikuwa mastaa na walikuwa wanaupiga mwingi.
Leo Feitoto na Bangala wanaonekana wazito na hawana mvuto, ilhali Gamondi anaonekana mtaalamu kuliko Nabi.
Huyo huyo Gamondi mpeleke akafundishe JKT Ruvu halafu Kocha wa Ruvu aende Yanga bado Yanga itashinda tu.
Kuna nyota wanatembelea Yanga ambayo haihusiani na masuala ya kiufundi, ndio maana juzi wakati wanacheza na ADT ya Djibouti walisema ni xku ya Max Nzengeli ya kuchomekea, siku ile wajanja tulijua kuwa nyota ya ushindi kapewa yeye, ni rahisi sana kutabiri matukio ya Yanga kutokana na mipango yao nje ya uwanja.
Hakuna cha Gamondi wala nini, ni mipango nje ya uwanja inafanya kazi.
Aiseeeeee, pelekeni basi Taifa stars wakachukue world cup kwani nyie mna ulozi hodari. Mawazo ya Kijuha na kimaskini haya.Na sasa hivi habari zinazosemwa mtaani ni kwamba YANGA SC ule uwanja wa Azam sasa hivi wameuroga na wameutengeneza na kuzika vitu vya kila aina na kila atakayeingia pale lazima achezee 5G. Yanga wameuroga ule Uwanja hata Azam FC mwenye uwanja hajafanya makafara kama waliyoyafanya Yanga.
Bado hujasema, na utasema tu..!!!Hakuna cha ubora wa nini, iweje Bangala na Feitoto waonekane wachezaji wa kawaida tu wakiwa azam wakati walipokuwa Yanga walikuwa mastaa na walikuwa wanaupiga mwingi.
Leo Feitoto na Bangala wanaonekana wazito na hawana mvuto, ilhali Gamondi anaonekana mtaalamu kuliko Nabi.
Huyo huyo Gamondi mpeleke akafundishe JKT Ruvu halafu Kocha wa Ruvu aende Yanga bado Yanga itashinda tu.
Kuna nyota wanatembelea Yanga ambayo haihusiani na masuala ya kiufundi, ndio maana juzi wakati wanacheza na ADT ya Djibouti walisema ni xku ya Max Nzengeli ya kuchomekea, siku ile wajanja tulijua kuwa nyota ya ushindi kapewa yeye, ni rahisi sana kutabiri matukio ya Yanga kutokana na mipango yao nje ya uwanja.
Hakuna cha Gamondi wala nini, ni mipango nje ya uwanja inafanya kazi.
Nimequote nilichokisikia kitaa,Aiseeeeee, pelekeni basi Taifa stars wakachukue world cup kwani nyie mna ulozi hodari. Mawazo ya Kijuha na kimaskini haya.
Una akili ya kuvukia barabara tu..!! Tena barabara yenyewe ya huko Mtimbwilimbwi..!!Na sasa hivi habari zinazosemwa mtaani ni kwamba YANGA SC ule uwanja wa Azam sasa hivi wameuroga na wameutengeneza na kuzika vitu vya kila aina na kila atakayeingia pale lazima achezee 5G. Yanga wameuroga ule Uwanja hata Azam FC mwenye uwanja hajafanya makafara kama waliyoyafanya Yanga.
IQ ni tatizo kubwa kwa watanzania kama huyuHakuna cha ubora wa nini, iweje Bangala na Feitoto waonekane wachezaji wa kawaida tu wakiwa azam wakati walipokuwa Yanga walikuwa mastaa na walikuwa wanaupiga mwingi.
Leo Feitoto na Bangala wanaonekana wazito na hawana mvuto, ilhali Gamondi anaonekana mtaalamu kuliko Nabi.
Huyo huyo Gamondi mpeleke akafundishe JKT Ruvu halafu Kocha wa Ruvu aende Yanga bado Yanga itashinda tu.
Kuna nyota wanatembelea Yanga ambayo haihusiani na masuala ya kiufundi, ndio maana juzi wakati wanacheza na ADT ya Djibouti walisema ni xku ya Max Nzengeli ya kuchomekea, siku ile wajanja tulijua kuwa nyota ya ushindi kapewa yeye, ni rahisi sana kutabiri matukio ya Yanga kutokana na mipango yao nje ya uwanja.
Hakuna cha Gamondi wala nini, ni mipango nje ya uwanja inafanya kazi.
Nimequote nilichokisikia kitaa,Aiseeeeee, pelekeni basi Taifa stars wakachukue world cup kwani nyie mna ulozi hodari. Mawazo ya Kijuha na kimaskini haya.
Akili wewe ndio hu ndio hauna nimeandika Mtaani watu wanasema. Sasa hapo tatizo langu liko wapi?Una akili ya kuvukia barabara tu..!! Tena barabara yenyewe ya huko Mtimbwilimbwi..!!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ugua pole mwaya....maumivu yakizidi muone daktari