Gamondi: Simba watapewa dozi kulingana na ugonjwa wake

Labani og

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
19,637
Reaction score
29,473
GAMONDI:UNAPEWA DOZI KULINGANA NA UGONJWA WAKO.

''Mechi yetu dhidi ya Simba maandalizi yetu hayana tofauti na mechi yoyote ya ligi kuu.
Hii ni mechi kubwa sana kwa mashabiki na wapenzi wa soka, lakini kwetu kama technical stuff hii ni study ya kawaida.
Idadi ya goli tutakazofunga itategemea na shauku aliyonayo mpinzani wetu dhidi yetu.''

Gamond kasema anakupimia idadi ya goli kulingana na shauku yako.

#FutbalPlanetUpdates
1729241689861.jpg

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Mlisingizia Nyerere kuwanyima habari, sasa habari kila sehemu! Mliambiwa Katiba ni kitabu Tu kama vitabu vya Shigongo, ila ni kitabu hicho kimemuondoa "Philipp Mpango" WA jirani zetu hapo, hebu pumzika na ujinga huu wa mipira, tuokoe nchi yeu inayotafunwa familia zisizozidi 6 Tu!
 
Maoni Nako ni gani

Kilakitu kipo wazi.

Democracy inatofautiana eneo na eneo we can't be the same in every situation......

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Mlisingizia Nyerere kuwanyima habari, sasa habari kila sehemu! Mliambiwa Katiba ni kitabu Tu kama vitabu vya Shigongo, ila ni kitabu hicho kimemuondoa "Philipp Mpango" WA jirani zetu hapo, hebu pumzika na ujinga huu wa mipira, tuokoe nchi yeu inayotafunwa familia zisizozidi 6 Tu!
Hili ni jukwaa la michezo, hatuwezi kuongelea mambo ya katiba humu, tunaomba muheshimu jukwaa letu la Jamii Sports
 
Kama yanga wangekuwa na ateba pale mbele na deborah mavambo pale kati ningewapa washinde na goli tatu halafu naweka milioni 10,mke,nyumba na gari.
 
Mlisingizia Nyerere kuwanyima habari, sasa habari kila sehemu! Mliambiwa Katiba ni kitabu Tu kama vitabu vya Shigongo, ila ni kitabu hicho kimemuondoa "Philipp Mpango" WA jirani zetu hapo, hebu pumzika na ujinga huu wa mipira, tuokoe nchi yeu inayotafunwa familia zisizozidi 6 Tu!
Usifikiri kila mtu ana mawazo ya kitundu lisu. Usiwapangie watu cha kufanya.😎
 
Kama yanga wangekuwa na ateba pale mbele na deborah mavambo pale kati ningewapa washinde na goli tatu halafu naweka milioni 10,mke,nyumba na gari.
Mke mtoe mkuu ni binadamu. Ni sawa na Baba yako akimuweka mama yako, hutaona sawa.
 
Back
Top Bottom