Gamondi: Simba watapewa dozi kulingana na ugonjwa wake

Gamondi: Simba watapewa dozi kulingana na ugonjwa wake

Mlisingizia Nyerere kuwanyima habari, sasa habari kila sehemu! Mliambiwa Katiba ni kitabu Tu kama vitabu vya Shigongo, ila ni kitabu hicho kimemuondoa "Philipp Mpango" WA jirani zetu hapo, hebu pumzika na ujinga huu wa mipira, tuokoe nchi yeu inayotafunwa familia zisizozidi 6 Tu!
Siasa ni kwajili ya wanasiasa Mpira ni kwajili ya wanamichezo toa hi takataka
 
Ulitaka aongee nini mbele ya hadhara?

Huyo kitaalam anajua tu game itakua ngumu maana kikosi cha simba now si kama alichocheza nacho hapo awali..

Ngoja tuwakande ndo mtajua.
 
Kila nikiwaza golini yupo diara kulia boka kushoto yao pale job weka na baka naona hakuna jinsi ya simba kupata goli ata moja. Kule mbele max pacome azizi k dube mzize benchi yupo Chama msonda balekhe katikati Mudathir aucho mkude yupo benchi na sure boy na Duke abuya. Sitaki kuamini kitakacho wakuta kesho watani.
 
Ila Gamondi msengee,Koo sisi Simba anajiona anatumuudu sana kwambaa tukiwashwaaa sana anatukunaa tutakavyo mpaka Tumshukuru🤣🤣🤣🤣Twazaraulika jamaniii Ateba tuokoeeee.
 
HAMONDI:UNAPEWA DOZI KULINGANA NA UGONJWA WAKO.

.
''Mechi yetu dhidi ya Simba maandalizi yetu hayana tofauti na mechi yoyote ya ligi kuu.
Hii ni mechi kubwa sana kwa mashabiki na wapenzi wa soka, lakini kwetu kama technical stuff hii ni study ya kawaida.
Idadi ya goli tutakazofunga itategemea na shauku aliyonayo mpinzani wetu dhidi yetu.''

Gamond kasema anakupimia idadi ya goli kulingana na shauku yako.

#FutbalPlanetUpdatesView attachment 3128556

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Wananchi tunagawa doziii.
 
Back
Top Bottom