Gamondi: Simba watapewa dozi kulingana na ugonjwa wake

Gamondi: Simba watapewa dozi kulingana na ugonjwa wake

Kila nikiwaza golini yupo diara kulia boka kushoto yao pale job weka na baka naona hakuna jinsi ya simba kupata goli ata moja. Kule mbele max pacome azizi k dube mzize benchi yupo Chama msonda balekhe katikati Mudathir aucho mkude yupo benchi na sure boy na Duke abuya. Sitaki kuamini kitakacho wakuta kesho watani.
Hata Mimi nashangaa...Simba wanajiaminia nn

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Ila Gamondi msengee,Koo sisi Simba anajiona anatumuudu sana kwambaa tukiwashwaaa sana anatukunaa tutakavyo mpaka Tumshukuru[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Twazaraulika jamaniii Ateba tuokoeeee.
Ngoja tumuone huyo ateba

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom