Gamondi: Simba watapewa dozi kulingana na ugonjwa wake

Kesho tusikimbiane lakini!! Maana ndio za kina laban og hizo! wanakimbiaga hadi nyuzi zo wenyewe!
 
Siasa ni kwajili ya wanasiasa Mpira ni kwajili ya wanamichezo toa hi takataka
 
Ulitaka aongee nini mbele ya hadhara?

Huyo kitaalam anajua tu game itakua ngumu maana kikosi cha simba now si kama alichocheza nacho hapo awali..

Ngoja tuwakande ndo mtajua.
 
Kila nikiwaza golini yupo diara kulia boka kushoto yao pale job weka na baka naona hakuna jinsi ya simba kupata goli ata moja. Kule mbele max pacome azizi k dube mzize benchi yupo Chama msonda balekhe katikati Mudathir aucho mkude yupo benchi na sure boy na Duke abuya. Sitaki kuamini kitakacho wakuta kesho watani.
 
Ila Gamondi msengee,Koo sisi Simba anajiona anatumuudu sana kwambaa tukiwashwaaa sana anatukunaa tutakavyo mpaka Tumshukuru🤣🤣🤣🤣Twazaraulika jamaniii Ateba tuokoeeee.
 
Wananchi tunagawa doziii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…