Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 40,905
- 86,203
Kaongea kimpira na ki kocha ila sie mashabiki tunajua Yanga katolewa"Tunawapongeza APR ila kwa sisi kitu cha muhimu ni Ligi, Ligi ya Mabingwa na Kombe la FA. Michuano hii tuliichukulia kama sehemu ya kufanya uchambuzi wa kikosi chetu na ni wachezaji gani wanahitaji kuboresha mchezo wao" Miguel Garmondi, Kocha wa Yanga SC. #SRSportsUPDATES #MapinduziCu
Nadhani Sasa mmeelewa kuwa Gamondi hakuwa serious na hili kombe bali alihitaji kujua kama anakikosi kipana
Sio kama makolo [emoji23][emoji23] kwenye kombe la mapinduzi wameingiza Hadi wachezaji wenye mvi.
View attachment 2865298
Cc Shadeeya