Gamondi: Tulitumia Kombe la Mapinduzi kujaribu wachezaji

Gamondi, hakuna kombe la majaribio ndugu yangu - hii ndiyo Bongo karibu sana. Siku nyingine wasikudanganye - Tumia mashindano haya kujenga timu yako, mashindano haya si majaribio ya watoto.
 
Gamondi anaanza kushindwa kuendesha timu iwapo anetegema wachezaji wachache tu. Inaonekana hana mbinu za ushindi kwani anategemea uwezo wa wachezaji binafsi tu. Nataka kusema kuwa Gamondi hamfikii Nabi; kwani ilikuwa ni nadra sana nabi kufungwa kipindi cha pili, na mara zote ndicho kilikuwa kipindi hatari sana baada ya kumsoma mpinzania ndani ya kipindi cha kwanza. Baada ya Yanga kuongoza ndani ya kipindi cha kwanza, nabi alitakiwa kubadilisha mfumo na kubalance kati ya ulinzi na mashambulizi lakini yeye akaongeza mashambulinzi na kuacha ombwe kwenye ulinzi. .
Mbona unasahau kuwa nabi alikuwa na mayele pale mbele .
Uwezo wa mayele umewazidi wote kwa pamoja musonda , mzize , ngushi , nkane na moloko .
 
Nabi ni mkubwa sana Kwa gamondi
 
Gamondi, hakuna kombe la majaribio ndugu yangu - hii ndiyo Bongo karibu sana. Siku nyingine wasikudanganye - Tumia mashindano haya kujenga timu yako, mashindano haya si majaribio ya watoto.
Sema gamondi ni muoga sana kujitetea ..... inaonekana anafuatilia sana media za kibongo
 
kikosi kile - bahati hakijafika fainali - Simba ingejipigia 13, kila mchezaji goli lake na mawili moja la Gamondo na jingine Ally Kamwe kuzima bakuli lake.
 
Ni ngumu....utakuta kingefufukia Kwa simba
 
Mbona unasahau kuwa nabi alikuwa na mayele pale mbele .
Uwezo wa mayele umewazidi wote kwa pamoja musonda , mzize , ngushi , nkane na moloko .
Nazungumza kimbinu. Kuna michezo ambayo Mayele alikuwa hafungi lakini timu inafanya vizuri. Huyu Gamandi haendeshi timu kwa mbinu
 
Hata nabi alichemsha wakati mungine mbinu .
Angalia mechi ya fainali na usm Algiers pale kwa mkapa nabi alishindwa mbinu kabisa .
Left back anamweka kubwana shomari akawa njia kwa winger za usm algiers.
Mayele aliposawazisha goli anamtoa beki kisiki job anamwingiza Djuma shaban asiye na uwezo wa kuzuia aliyechomesha Hata mechi na makolo, usm wakapata goli 2 kilaini .
 
Ambatanisha na CV za Gamondi hapa ili tumpime , maana huyo jamaa anaonekana kama alighushi vyeti na hajui kazi yake ni ipi hasa 😁
Nadhani Sasa mmeelewa kuwa Gamondi hakuwa serious na hili kombe bali alihitaji kujua kama anakikosi kipana
 
Back
Top Bottom