Gamondi: Tulitumia Kombe la Mapinduzi kujaribu wachezaji

Kaongea kimpira na ki kocha ila sie mashabiki tunajua Yanga katolewa

Cc Shadeeya
 
Dah! Sasa kuwajaribu vijana ndiyo awachezeshe hata kwenye mechi za kuamua matokeo!!

Halafu ametumia kigezo gani kuwapa mapumziko baadhi ya wachezaji ambao hawako kwenye timu zao za Taifa wakati huu ambapo timu ina muda mchache wa kujiandaa na mashindano ya Ligi, na yale ya Kimataifa?
 
Ndo kwaheri yao.....tutawapeleka Simba Kwa mkopo[emoji23]
 
Kwenye hiyo 100m toa gharama za makato ...inabaki 60m[emoji23]
 
Juzi wakati wanacheza na apr,makolo walimuingiza onana akitokea jukwaani maana hata kwenye sub jina lake alikuwepo[emoji23],ukitaka kujua gamondi akua serious na lile bonanza wakati tushapigwa 3 ndio kwanza anafanya sub kuwaingiza watoto
Mwenyewe nilishangaa
 
Malengo tuliyojiwekea kule kwenye bonanza ni kufika robo,tena hata hao kina moloko na gift fred usingewaona ingeenda timu B yote,serikali ya znz iliomba timu zipeleke wachezaji wa senior team ndio hata ukawaona hao kina moloko na gift fred,kvz sijui mlandege uwawekee pacome wakimvunja gharama yake kubwa
 
Gamondi anaanza kushindwa kuendesha timu iwapo anetegema wachezaji wachache tu. Inaonekana hana mbinu za ushindi kwani anategemea uwezo wa wachezaji binafsi tu. Nataka kusema kuwa Gamondi hamfikii Nabi; kwani ilikuwa ni nadra sana nabi kufungwa kipindi cha pili, na mara zote ndicho kilikuwa kipindi hatari sana baada ya kumsoma mpinzani ndani ya kipindi cha kwanza. Baada ya Yanga kuongoza ndani ya kipindi cha kwanza, Gamondi alitakiwa kubadilisha mfumo na kubalance kati ya ulinzi na mashambulizi lakini yeye akaongeza mashambulinzi na kuacha ombwe kwenye ulinzi. .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…