GAMONDI:TUTAIFUNGA SIMBA GOLI KUTEGE.MEA NA SHAUKU ZAO

GAMONDI:TUTAIFUNGA SIMBA GOLI KUTEGE.MEA NA SHAUKU ZAO

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619
MH GAMONDI
AMESEMA SIMBA ITAFUNGWA KUTOKANA NA SHAUKU YAO
KAMA WANATAMAN MAGOLI MENGI WATAPEWA WANACHOTAKA

▶️MIGUEL GAMOND ATOA NENO KUELEKEA DERBY
.
🗨️''Mechi yetu dhidi ya Simba maandalizi yetu hayana tofauti na mechi yoyote ya ligi kuu.
Hii ni mechi kubwa sana kwa mashabiki na wapenzi wa soka, lakini kwetu kama technical stuff hii ni study ya kawaida.
Idadi ya goli tutakazofunga itategemea na shauku aliyonayo mpinzani wetu dhidi yetu.''

Gamond kasema anakupimia idadi ya goli kulingana na shauku yako.

#CHALINZEUPDATESNEWS
 
Gamondi
 

Attachments

  • 1729240346312.jpg
    1729240346312.jpg
    281 KB · Views: 4
Huyu Gamond hana huruma hata kidogo bora hata Nabii alikuwa na chembe chembe za huruma Kwa mtani

Naziona goli 7 zileeeeeeee
 
Angegawa hyo shauku kwa ihefu kwanza.
 
Gamondi ndiyo kocha pekee wa mpira wa miguu hapa Tanzania
 
Back
Top Bottom